Kiwarhoapandenga
JF-Expert Member
- Aug 10, 2019
- 2,078
- 1,805
Sasa ndio mkajezane hapo mweeeThis is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa ndio mkajezane hapo mweeeThis is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
Kama ni kweli pole yake Amina, hata hivyo mie nilimuona ana moyo sana. Mwanaume ana watoto watatu na kila mtoto na mama yake bado ukatumbukie humo[emoji134][emoji134][emoji134]
Kama haitoshi familia nzima inaishi under the same roof yaani hapo maana ya ndoa hakuna.
Unamanisha niniUkitaka kujua utamu wa ndoa olewa na kijana ambaye ukoo mzima wanamtegemea.
Utachukiwa na ndugu zakw wote sababu wanajua hawatahudumiwa tena...!! Umaskini balaaUnamanisha nini
Kwa hiyo Amina unampa pole vipi Ali?This is sad,pole Amina..uwe haupendani na ndugu za mumeo na mumeo anawa support ndugu zake..hio atmosphere ni ngumu...bora ukapumue mwaya!!
Familia zetu za kiafrica kuwa na ndugu kwenye nyumba ni kitu cha kawaida ila unatakiwa uangalie kama hao ndugu hawaharibu uhusiano wako...Kiba ulipojua tu mkeo hapatani na mama yako ungewatenganisha kila mtu akae kwake...dada wa watu kavumilia...hata mie ningesepa..lol
Mzee mwenzangu umezungumza kweli ,nimesoma coment za wengi humu hawajui hawa wanawake wakimombasa huwa ni washenzi sana ,kwanza wanataka kuwa juu ya mume ,yaan mke awe na sauti ,pia ni watu wa anasa na wabinafsi sana hawana adabuHivi mnazijua tabia za wanawake wa Mombasa nyie?
Au mnamlaumu Ali Kiba bure tu?
Ukweli anao Kiba na watu wake wa Karibu tu!
harusi zenye mbwembwe zikifanywa na maskini hazifikagi mbali..
alikiba anatoka ukoo maskini kitendo cha kufanya harusi ya mbwembwe tu ilikuwa kama analeta mkosi..
hela za harusi ya ali kiba zingewapa ndugu zake ali kiba mtaji.. wasingekomaa kuishi kwa alikiba..
ila harusi mnatumia hela nyingi huku ukooo wenu ni maskini.. mtagombana tu
Hivi Amina alienjoy mdinyo kweli? Maana raha ya mdinyo any time anywhere mnabanjuana sasa hiyo nyumba jamani mara zabibu, mara mama mkwe mara abdu mara kings artist mara watoto maskini bint wa watu hata hajafaidi, bora alivyojiondokea atapata mume atakayefaidi.
Mimi nilikaa ukweni mwezi tu kila siku nlitafuta sababu turudi kwetu maana ukianza kupika ndo mkwe weee kama mbuzi mbuzi mzima unahangaika nae, mpaka mda wa kuhudumia mume usiku kiuno kimeganda.
Na kudinyana kwenyewe inabidi mwanaume akuzibe mdomo kelele za mautamu wasisikie wakwe, ikitokea mume katoka mihangaiko labda kajibandikia chai unaona kabisa hao ndugu wanamind na kuweka kikao cha dharura.
Kuolewa familia ya kimaskini na waswahili waliojazana ndani ni UTUMWA.
Yule mke ndugu yake na mchezaji gani sijui naye kakimbia??
AhahahaahaaaUkitaka kujua utamu wa ndoa olewa na kijana ambaye ukoo mzima wanamtegemea.
Hivi mnazijua tabia za wanawake wa Mombasa nyie?
Au mnamlaumu Ali Kiba bure tu?
Ukweli anao Kiba na watu wake wa Karibu tu!
Mzee mwenzangu umezungumza kweli ,nimesoma coment za wengi humu hawajui hawa wanawake wakimombasa huwa ni washenzi sana ,kwanza wanataka kuwa juu ya mume ,yaan mke awe na sauti ,pia ni watu wa anasa na wabinafsi sana hawana adabu
Kwa hiyo wakati anaoa alikua hayajui hayo
Mbona wahindi wanaishi hivyo?Ndio tatizo la ndoa za kishwahili mnapishana na ndugu kwenye korido Kama nzi. Afrika kuchomoka bado Sana unaweza kuishi na ndugu zaidi ya watano nyumba moja,Dada wa kazi anafanya kazi ya kupika kuanzia asubuhi Hadi usiku utadhan ni mpisha wa hotel.mnapika chakula kingi Hadi kinakosa ladha .