Dunia ni kijijiHivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
Na hivi salio limesoma wataishi kwa raha sanaBongo hii ngumu sana! Wajinga wengi wamepewa nafasi hawana sifa nazo na kuna wengi wana maarifa na hawapewi nafasi! Mimi nadhani Lissu na Lema hata wakitokomea huko mazima bado ni sawa tu!
Kichwa cha habari kingine habari nyingine...kweli ww ni errorHivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
Ulaya ni ulaya tu,uwezi kulinganisha na bongo,Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
Sababu umeshatoa kwamba ulaya pazuri sana bongo bahati mbaya. Sasa unataka sababu gani Tena?Hivi ni kipi kinawazuia hawa waliojiita ni wakimbizi wa Kisiasa wasirudi Tanzania ?
Naona wanaona kama waliishi Bongo kwa Bahati mbaya tu ila kwa uzuri wa huko Ulaya ni bora waendelee kuishi huko .
Ni wakati muafaka kwa Tundu Lissu na Lema watupe sababu ya kueleweka kwanini hawarudi
Ulaya ni ulaya tu,uwezi kulinganisha na bongo,
Kuna wale Islamic fundamentalist,wenye imani kali,huwa wanahubili ukristo ni mbaya sana,lakini wakati huo wanaishi USA,UK,Austaria,natherand,nchi za kikristo,hawathubutu kwenda kuishi kwa waislam wenzao,Saudia,Qatar,misri,
Ulaya imejengwa,mifumo inafanya kazi,ukipiga kazi,inakulipa,hakuna janja janja.
Bongo hapa,huduma za jamii shida,huwezi kuchukua maji ya Bomba ukanywa!utaugua typhoid mpaka ukome,
[/QUOT
Hakika
Watuweke waziSababu umeshatoa kwamba ulaya pazuri sana bongo bahati mbaya. Sasa unataka sababu gani Tena?
Kuishi na watu civilized pana raha yake sema tu tamaa na kiherehere cha wapigania UHURU ndio imetufikisha hapa pa hovyo.