Msanii atoa wimbo wa 'Mbowe sio Gaidi'

Ndiyo utamtoa Dj?
Swali la kijinga. Inashangaza siku hizi JF imeingiliwa na watu wa namna gani. Kama huna cha kuandika kwani lazima uandike?

Lengo la Forum imeharibiwa kabisa. Low minds ni wengi kuliko great minds.
 
Hata baadhi ya watu wakitaka kutunyamazisha basi mawe yataongea.

Wasanii wametoa wimbo wa Mbowe siyo Gaidi.

Wacha tuusikilize ndugu wazaleeendo wenzetu.

View attachment 1985347
Msaada. Nashindwa hz attachment, kila nikibofya inafungua page mpya, hapo nifanye nini ili niweze soma au sikiliza video husika?
 
Mkuu unatumia device gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…