Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Huyo ay Kazaa nae lakini
 
Mpunga wa Tigo ni kweli walikula. Lakini si kweli kuwa FA na AY walipata B moja moja, kuna mchanganuo wake lakini sina haki ya kuuweka hapa hadharani. Ila ni suala linalojulikana.

Mkuu fedha imeenda kwa AY ,FA na MSANDO.(AY B Moja ,FA B Moja na Msando 200m) ,kama AY na FA waligawa kwa wengine ni sawa ,ni kama Rugemalila alivyolamba mpunga wa Escrow kisheria inajulikana VIP engineering kupitia Rugemalila alilamba 75B ,ila kuna wengine pia walilamba humo kama kwenye 75B ya ruge kina chenge,tibaijuka etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…