Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Haaaahaaaa wew Dogo majungu hayo[emoji1] [emoji1]
 
 
Hv N vigezo gan vnatumika
kwemda kufungia ndoa Kwa mwanamke maana hata mm


Nna mnyarwanda wang Mae
Ananambia hvo kuwa ndo tukafungie
Rwanda ktu amabacho n ndoto kwang
Nenda tu mkuu usiogope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…