Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Umepata riziki mzee? Maana njaa hukata mishipa ya fahamu.
IMG-20180208-WA0006.jpg
 
Wanawake wa bongo endeleen kufuga makucha kama jini, endelea kukuza makalio na kusuka mawigi waume zenu bado hawajazaliwa na mtakuja kuolewa na wajukuu zenu

Nywanoko benywe

LONDON BOY
Haaaahaaaa wew Dogo majungu hayo[emoji1] [emoji1]
 
Aman iwe nanyi wakuu katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

MSANII wa kizaz kipya Ambwene yesaya siku ya leo amafunga ndo na mkr wake mnyarwanda na ndo hiyo imefungwa kimila huko nchin rwanda

Mke wa msannii huyo ana master ya ENGINEER

Watu hao wamedumu kwenye uchumba kwa muda wa miaka kumi sasa
 
Hv N vigezo gan vnatumika
kwemda kufungia ndoa Kwa mwanamke maana hata mm


Nna mnyarwanda wang Mae
Ananambia hvo kuwa ndo tukafungie
Rwanda ktu amabacho n ndoto kwang
Nenda tu mkuu usiogope
 
Back
Top Bottom