Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Washaachana walijifanya kwenda kuoa nje ya Tanzania wote wameachika rudin nyumbani kumenoga
Hao watutsi hasa wazaliwa wa Rwanda na nchi zingine mbali na waliozaliwa Tz ni very complex na maisha yao yako structured kama wazungu tuseme kama robot, kwa sisi kibongo bongo ni ngumu sana kuishi nao.
 
Washaachana walijifanya kwenda kuoa nje ya Tanzania wote wameachika rudin nyumbani kumenoga

1. Ben Pol - Chali (Kenya)
2. Kibakuli - Chali(Kenya)
3.Yesaya - Chali(Rwanda)

Ila kweli kuoa mtu nje ya jamii yako kumatch inakuwa ngumu sana ,imagine AY ni bilionea ,mkewe mzuri why hawajaendana? Inakuwaje ghafla tu mkewe awe na boyfriend mpya na waende paris ,means mkewe alikuwa kicheche.
 
Waoe nyumbani bana
 
Kumbe AY ameshakuwa bilionea!
 
Hapo kwenye 'bilionea' naomba maelezo kidogo
 
Hatari sana, kuachana inaweza isiwe ajabu Sana, Ila tatizo ni kwamba sherehe zao zilikuwa na mbwembwe Sana na hawajadumu muda mrefu walau hata wangevuta miaka 5, Alikiba nae ni yale yale,, doh
Watu wanavuka mabara kurudi home kuoa wao wanajifanya kuoa majirani acha wakome
Wakome kabisa [emoji28][emoji28] waoe nyumbani
Mhhhh, nanyi acheni nongwa zenu bwana. Ndoa siyo rahisi kama mnavyofikiria, hata kama utaolewa na mtanzania mwenzako bila hata mbwembwe. Tukiwa mitandaoni na vijiweni ni rahisi mno kuponda, lakini mkishaingia ndani, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagosha!, Ndiyo mtaelewa vizuri.

Ila yote tisa, walau hata alifanya kasherehe kazuri na ana historia ya kuoa. Pia bado AY ni kijana mwenye pesa nzuri tu, anaweza kuoa tena. Mwacheni mtoto wa watu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…