Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Hatari sana, kuachana inaweza isiwe ajabu Sana, Ila tatizo ni kwamba sherehe zao zilikuwa na mbwembwe Sana na hawajadumu muda mrefu walau hata wangevuta miaka 5, Alikiba nae ni yale yale,, dohNdoa chali. Mke tayari ana boyfriend mpya wapo zao paris wakila bata