Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
😁😁😁 brother kuna ile vibe, familia nzima, marafiki, classmates na workmates wote kwenye room moja. Mnakunywa, mnacheza na kufurahiHiv kabisa mbwembwe za sherehe zinawatamanishaga kuoa kabisa???
Ahahaah.
Yani ni once in a life time moment