Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Hiv kabisa mbwembwe za sherehe zinawatamanishaga kuoa kabisa???
Ahahaah.
😁😁😁 brother kuna ile vibe, familia nzima, marafiki, classmates na workmates wote kwenye room moja. Mnakunywa, mnacheza na kufurahi

Yani ni once in a life time moment
 
Mhhhh, nanyi acheni nongwa zenu bwana. Ndoa siyo rahisi kama mnavyofikiria, hata kama utaolewa na mtanzania mwenzako bila hata mbwembwe. Tukiwa mitandaoni na vijiweni ni rahisi mno kuponda, lakini mkishaingia ndani, Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Bagosha!, Ndiyo mtaelewa vizuri.

Ila yote tisa, walau hata alifanya kasherehe kazuri na ana historia ya kuoa. Pia bado AY ni kijana mwenye pesa nzuri tu, anaweza kuoa tena. Mwacheni mtoto wa watu....
Muoe kwenu
 
Mahusiano magumu tu siku hizi hakuna cha kuoa mzungu, mtutsi au hawa wa kienyeji. Watu wanachokana mapema kwa sababu kila mtu ana exposure ya kuona na kuonja vitu/watu wengine. Exposure ambayo kabla ya kuendelea kwa technology haikuwepo.

Siku hizi watu wanasema mambo wasomaanisha, ahadi hazina tena uzito wa kutimizwa. Mambo ya ndoa kwa ulimwengu huu yashapitwa na wakati, watu wafunge ndoa za mikataba wakichokana wabaki kuwa wazazi wenza tu endapo wana watoto.
Muoe kwenu
 
Kwenda huko weweeee! Vijiba roho tu. Mbona VANESSA alivyochumbiwa Marekani na kumucha JUKUSI hamkulalamika ila mnataka kuleta nongwa kwa AY kuoa hapo Rwanda ???
Aaaaa sisi wanawake kwa vile ni wengi ni ruksa kuolewa nje ila wanaume wachache muoe hapa hapa nyumbani allaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom