Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

Msanii AY afunga ndoa na mpenzi wake huko Rwanda

miaka 10 yote hio jamaa hakuwa ana mbanduaga huyo mbifibi.
 
Miaka kumi yote hii unamchunguza au waliachana katikati wakarudiana tena kama Prof J na mkewe?
 
Mwanamke ana degree mbili, AY ana degree ngapi? Au kabaki na div four yake ya Ifunda '99?
Kweli mapenzi ni upofu!!
 
Hongera yake ila asituletee kizazi cha wanyamurenge huku tz.
 
Back
Top Bottom