Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,345
- 10,885
Waafrika tumeumbwa kiunyama Sana wivu unawafanya watu kuwa wachawi.
Chifu, nakubaliana na wewe.
Ila roho mbaya zipo kwa race zote....wazungu, wahindi, waarabu, wachina, walatini, warusi n.k.
Hayo watu katika hayo makundi nao wanafanyiana roho mbaya wenyewe kwa wenyewe....
Hivyo, mimi naamini roho mbaya ni hulka ama tabia tu ya mwanadamu bila kujali race yake...