Msanii AY azidi kuonyesha mafanikio yake

Msanii AY azidi kuonyesha mafanikio yake

Waafrika tumeumbwa kiunyama Sana wivu unawafanya watu kuwa wachawi.

Chifu, nakubaliana na wewe.

Ila roho mbaya zipo kwa race zote....wazungu, wahindi, waarabu, wachina, walatini, warusi n.k.

Hayo watu katika hayo makundi nao wanafanyiana roho mbaya wenyewe kwa wenyewe....

Hivyo, mimi naamini roho mbaya ni hulka ama tabia tu ya mwanadamu bila kujali race yake...
 
attachment.php

More power to him, lakini isije ikawa anaendesha gari lenye check engine light on, and all kinds of dash warnings flashing, maana naona kuna tatizo na air suspension.
 
Ndjabu Da Dude

Mkuu suspension kwa range lover sio tatizo kwasababu yanatumia upepo kwenye suspension sio mtalaam sana nazani watalaam wanaweza kunisahihisha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu suspension kwa range lover sio tatizo kwasababu yanatumia upepo kwenye suspension sio mtalaam sana nazani watalaam wanaweza kunisahihisha

Kiusahihi zaidi inafahamika kama Electronic Air Suspension, na ni zaidi ya upepo. Haya magari huwa yana matatizo sana na hiyo kitu. Nikiangalia naona suspension ipo chini mno haswa nyuma. Most likely sababu air bags zipo deflated na siyo sababu ya driver adjustment.
 
Hivyo, mimi naamini roho mbaya ni hulka ama tabia tu ya mwanadamu bila kujali race yake...

Twaib! Kama ilivyo kwenye tu kwenye sifa bainishi zingine.

Ni mambo ya kibinadamu zaidi na hayategemei rangi ya ngozi.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ninaamini karibu wachangiaji wote kama si wote katika hii thread hawajawahi nunua product yeyote ya AY ila ndio wa kwanza kuponda usafiri wa jamaa huku wao wakiwa hawana hata baiskeli let alone ambao bado wapo Kwa wazee wao. Kweli waTz wengi wachawi
 
Hi All,
si kwamba 35m ni ndogo la hasha tulishaaminishwa zamani kwamba Range Rover bei zake ni kubwa sana zaidi ya 150m ila nlichosemaa kwa sasa hata ukiwa na 35m unaiweka barabarani,na kwa ushaidi kama alivyosema uaminifu ipo millenium tower inauzwa 49m bei ya kuaanzia ukibargain unaweza mkafika hadi hiyo 35m.Kuna Range pia za clone kama alivyosema shark.

Cc: Rutta,Shark,Deo Cerleone.
 
Jana limeona gari kama hilo pale opossite na millenium tower likiwa linauzwa 49milion. Atakayepata muda kesho apite lipo kandokando ya barabara na bei ipo kwenye kioo cha mbele.

Ni kweli hayo magari sio issue...kama vp tuonyesheni ghorofa lake tumpe heshima.

Hanaaa ghorofaa aache kusafirii ajenge ghorofa! Hizoo mambo wamuachie jux yeyee aendelee kupangisha pale kwenye nyumba za kota tuu.
 
Maajabu kuna watu huwa wanamponda Daimond watu wale wale leo wanawaita wenzao wachawi kisa wanamponda A.Y vipi yule msanii wenu hana jipya tuliongelee??????????? au munasubiri Tigo wambebe au Fiesta
 
Hi All,
si kwamba 35m ni ndogo la hasha tulishaaminishwa zamani kwamba Range Rover bei zake ni kubwa sana zaidi ya 150m ila nlichosemaa kwa sasa hata ukiwa na 35m unaiweka barabarani,na kwa ushaidi kama alivyosema uaminifu ipo millenium tower inauzwa 49m bei ya kuaanzia ukibargain unaweza mkafika hadi hiyo 35m.Kuna Range pia za clone kama alivyosema shark.

Cc: Rutta,Shark,Deo Cerleone.

So hata kama ni m20 tatizo ni Wapi?

Au ay kasema kanunua kwa milioni 100!?

Hebu tuacheni wivu wa kifala
 
Maajabu kuna watu huwa wanamponda Daimond watu wale wale leo wanawaita wenzao wachawi kisa wanamponda A.Y vipi yule msanii wenu hana jipya tuliongelee??????????? au munasubiri Tigo wambebe au Fiesta

Mimi hapa ndo nilianza kuwaita hao wachawi,sasa onesha Wapi nilimponda huyo unayemsema.

Halafu huu Uzi unamuhusu Ay,sasa huo ushabiki wenu maandazi unahusika nini hapa?
 
Jana limeona gari kama hilo pale opossite na millenium tower likiwa linauzwa 49milion. Atakayepata muda kesho apite lipo kandokando ya barabara na bei ipo kwenye kioo cha mbele.

Ni kweli hayo magari sio issue...kama vp tuonyesheni ghorofa lake tumpe heshima.

Point yako ni IPI?

Kwani Ay kasema kanunia sh.ngapi?
.unajuaje kama hajanunua hapo ulipotaja!?

Unaposema ndiga Sio ishu,uulitaka Ay apande daladala.?

Muacheni aishi maisha yake, as long as hajawahi kukuomba hela ya mafuta
 
Hi All,
si kwamba 35m ni ndogo la hasha tulishaaminishwa zamani kwamba Range Rover bei zake ni kubwa sana zaidi ya 150m ila nlichosemaa kwa sasa hata ukiwa na 35m unaiweka barabarani,na kwa ushaidi kama alivyosema uaminifu ipo millenium tower inauzwa 49m bei ya kuaanzia ukibargain unaweza mkafika hadi hiyo 35m.Kuna Range pia za clone kama alivyosema shark.

Cc: Rutta,Shark,Deo Cerleone.

Unachokisema ni sawa labda ingejulikana hilo la AY ni la mwaka gani na taarifa nyingine kama ni sport au laa ndio tukajua thamani yake halisi lakini ku-generalize tuu, si sawa maana kwenye mitandao kuna hadi za dollar 3000 na pia kuna hadi za dola zaidi ya 80 elfu. All in all tunaweza kumpongeza pia maana hilo la kwake nadhan niliweza kuwa la model zaidi ya 2008 ambayo bei yake iko juu
 
Safi sana AY, jamaa katoka mbali sana kweli wewe ni mzee wa comercial
 
Kaza buti AY japo nchi yetu wenye roho ya kwa nini ni kuliko...
 
Back
Top Bottom