secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
-
- #21
Mbwa akikonda aibu ni kwa mfugaji wake, kumbe Stamina ndiye anayefanya harakati za kuidomaza hip-hop.Stamina ndo kamtoa Janja huyo....halafu kama humuelewi ni wewe usilazimishe na sisi tusimuelewe hip hop anayofanya yeye hata huyi Stamina anafanya sana tu na Young Killer
Tungo tata(knowledge) ni kisanga, hapa ndio Mc mkali( Conscious) anatenganishwa na Mc Koko(Unconscious).Kuna na yule wa kuitwa Manengo nae hajawahi kumiliki tungo tata
Mbona Yuko vizuriWakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.
Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.
Ni hayo tu.
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.
Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.
Ni hayo tu.
Huyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.
Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.
Ni hayo tu.
Ni aibu kiwasikiliza hao marapper wa kizaI hiki.Huyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.
Ili uwe Rapper bora lazima
1 uweze ku flow styre zaidi ya 3 ( ndo kilicho mshinda youngkiller) ( khaligrghjones na stairi yake ya kurap haraka mpka tumemzoea ana kinai)
2 una uwezo wa ku freestyle automatic wengi hawawezi sio mpka uandike ( apa ni Ngwair, chidbenz)
3. Kuchana njia zote hardcore na hiphop laini
4 Beat yoyte unapita nayo
Je ni Rapper gani alikidhi vigezo
Huyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.
Ili uwe Rapper bora lazima
1 uweze ku flow styre zaidi ya 3 ( ndo kilicho mshinda youngkiller) ( khaligrghjones na stairi yake ya kurap haraka mpka tumemzoea ana kinai)
2 una uwezo wa ku freestyle automatic wengi hawawezi sio mpka uandike ( apa ni Ngwair, chidbenz)
3. Kuchana njia zote hardcore na hiphop laini
4 Beat yoyte unapita nayo
Je ni Rapper gani alikidhi vigezo
Wanasema Rap hailipi bora waimbe😂Ni aibu kiwasikiliza hao marapper wa kizaI hiki.
Stamina zamani alikua vizur, yaoung killer pia sijui wamapatwa na nini wanarap vitu havieleweki, hamna topic ni muunganiko wa maneno na vina tu.
Huyo ni wawapi?Cado kitengo
Mistari yake haina mantiki, hata yeye mwenyewe hajui anaimba niniM
Mbona Yuko vizuri
Shy town🤣🤣🤣. Anadai kuwa anaiwakilisha vemaHuyo ni wawapi?
We kama humuelewi wengine tunaemuelewaMistari yake haina mantiki, hata yeye mwenyewe hajui anaimba nini
Atakuwa anawasikiliza aliofanya nao colabo, kuwasikiliza magwiji kama prof Jay aah!Huyo dogo haoni akina P Mawenge wanavyochana au anasikiliza nyimbo zake na za Stamina tu.
Vigezo hivi nani kaweka? Source iko wapi? Mcs wote wakali duniani mbona hawafit vigezo hivyoHuyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.
Ili uwe Rapper bora lazima
1 uweze ku flow styre zaidi ya 3 ( ndo kilicho mshinda youngkiller) ( khaligrghjones na stairi yake ya kurap haraka mpka tumemzoea ana kinai)
2 una uwezo wa ku freestyle automatic wengi hawawezi sio mpka uandike ( apa ni Ngwair, chidbenz)
3. Kuchana njia zote hardcore na hiphop laini
4 Beat yoyte unapita nayo
Je ni Rapper gani alikidhi vigezo
Sema najielewa maana wewe ndo Bando Mc mwenyewe. Kutwa kusikiliza nyimbo zako za wengine hutaki kizisikia, utajifunza lini?We kama humuelewi wengine tunaemuelewa
Unaonaje wewe ukipost demo yako ya namna ya kurap ili tukulinganishe na huyo asiyejua.Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.
Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.
Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.
Ni hayo tu.
We unachuki binafsi na bando acha ukudaSema najielewa maana wewe ndo Bando Mc mwenyewe. Kutwa kusikiliza nyimbo zako za wengine hutaki kizisikia, utajifunza lini?
Badilika.
Mkuu kwenye kurap Mimi sifai tafadhali usipende kunilinganisha na huyo kichwa maj***.Unaonaje wewe ukipost demo yako ya namna ya kurap ili tukulinganishe na huyo asiyejua.