Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Stamina ndo kamtoa Janja huyo....halafu kama humuelewi ni wewe usilazimishe na sisi tusimuelewe hip hop anayofanya yeye hata huyi Stamina anafanya sana tu na Young Killer
Mbwa akikonda aibu ni kwa mfugaji wake, kumbe Stamina ndiye anayefanya harakati za kuidomaza hip-hop.
Kwanza Stamina alishapotea alikuja kufufuliwa na Roma (both Stamina na Bando ni marapa feki)
 
M
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.

Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.

Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.

Ni hayo tu.
Mbona Yuko vizuri
 
Huyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.

Ili uwe Rapper bora lazima
1 uweze ku flow styre zaidi ya 3 ( ndo kilicho mshinda youngkiller) ( khaligrghjones na stairi yake ya kurap haraka mpka tumemzoea ana kinai)
2 una uwezo wa ku freestyle automatic wengi hawawezi sio mpka uandike ( apa ni Ngwair, chidbenz)
3. Kuchana njia zote hardcore na hiphop laini
4 Beat yoyte unapita nayo

Je ni Rapper gani alikidhi vigezo
 
Ni aibu kiwasikiliza hao marapper wa kizaI hiki.
Stamina zamani alikua vizur, yaoung killer pia sijui wamapatwa na nini wanarap vitu havieleweki, hamna topic ni muunganiko wa maneno na vina tu.
 
Cado kitengo

Wanasema Rap hailipi bora waimbe😂
Kama meneja wa countryboy kaamua amkimbie show y mkoani promoter anawalip laki 8. Kweli Rap haina hela Africa
 
Huyo dogo haoni akina P Mawenge wanavyochana au anasikiliza nyimbo zake na za Stamina tu.
Atakuwa anawasikiliza aliofanya nao colabo, kuwasikiliza magwiji kama prof Jay aah!
 
Huyo jamaa hamna kitu ana Rap ki local na mistari ya kitoto " Eti unaweza kuongoza kata zote ila sio kata K" " Shabiki wa simba ila unaishi jangwani" mistari kama hii ishapitwa na wakati.

Ili uwe Rapper bora lazima
1 uweze ku flow styre zaidi ya 3 ( ndo kilicho mshinda youngkiller) ( khaligrghjones na stairi yake ya kurap haraka mpka tumemzoea ana kinai)
2 una uwezo wa ku freestyle automatic wengi hawawezi sio mpka uandike ( apa ni Ngwair, chidbenz)
3. Kuchana njia zote hardcore na hiphop laini
4 Beat yoyte unapita nayo

Je ni Rapper gani alikidhi vigezo
Vigezo hivi nani kaweka? Source iko wapi? Mcs wote wakali duniani mbona hawafit vigezo hivyo
 
Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje.

Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea topic yake. Nikiona mtu mzima anayejielewa anasikiliza Ngoma za bando Mc basi mimi humpokonya heshima niliyomkabidhi bila kupepesa macho.

Bando Mc ana-rap kitoto hivyo aendelee kuwadanganya watoto wenzake.

Ni hayo tu.
Unaonaje wewe ukipost demo yako ya namna ya kurap ili tukulinganishe na huyo asiyejua.
 
Back
Top Bottom