secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
- #21
Mbwa akikonda aibu ni kwa mfugaji wake, kumbe Stamina ndiye anayefanya harakati za kuidomaza hip-hop.Stamina ndo kamtoa Janja huyo....halafu kama humuelewi ni wewe usilazimishe na sisi tusimuelewe hip hop anayofanya yeye hata huyi Stamina anafanya sana tu na Young Killer
Kwanza Stamina alishapotea alikuja kufufuliwa na Roma (both Stamina na Bando ni marapa feki)