secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
- Thread starter
-
- #41
Sina chuki bali nataka abalike kabla watu wengi hawamshtukia kuwa hajui, hebu sikiliza kwa makini mistari yake uone kama hutakubaliana na mimi.We unachuki binafsi na bando acha ukuda
Mwache afurahishe watoto wasiojua gemu ya hip-hop ukoje.mistari ya kuunga unga tu ....
Kwahiyo mkuu ukimshushia mtu heshima ina muathiri nini ?Kuna rafiki yangu kwenye simu yake kajaza nyimbo zake, ili urafiki wetu usivunjike nikawa natembea na pamba za masikioni na Kila aliipopiga ngoma yoyote ya Bando basi mi niliweka pamba masikioni kwa kisingizio cha kusumbuliwa na masikio.
Vijana singeli zimeshawaathiri tuwekee mfano wa huo msitari ambao huelewiSina chuki bali nataka abalike kabla watu wengi hawamshtukia kuwa hajui, hebu sikiliza kwa makini mistari yake uone kama hutakubaliana na mimi.
Anaathirika kisakolojia, si unajua wale waopenda kuheshimiwa.Kwahiyo mkuu ukimshushia mtu heshima ina muathiri nini ?
Huyu jamaa ana chuki binafsi na bandoNdiyo namsikia leo.
Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.
Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.
Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".
Naweza kusema.
1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.
2. Ameenda na beat vizuri.
3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.
4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.
5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me if Guru's Jazzmattazz.
6. The video is well thought out, reflecting life's troubke and a resikient uplifting spirit.
Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.
Why the hate?
View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg
Labda akiwezeshwa ataweza.Ndiyo namsikia leo.
Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.
Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.
Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".
Naweza kusema.
1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.
2. Ameenda na beat vizuri.
3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.
4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.
5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me of Guru's Jazzmattazz.
6. The video is well thought out, reflecting life's trouble and a resilient uplifting spirit.
Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.
Why the hate?
View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg
Abadili flow mfumo wake wa kuimba ni uleule. Aimbe kweny Drill au Trap kutupa radha mpya. Yeye anachobadili ni message kwenye nyimbo ila flow na style ya kurap ni ileileNdiyo namsikia leo.
Lakini kumsema vibaya naona kama mnamuonea.
Mlivyomsema nikategemea mtu ambaye hawezi hata kuenda na beat, hana delivery, hana message.
Lakini, kwa kusikiliza wimbo wake mmoja tu "Sir God".
Naweza kusema.
1. Wimbo una uplifting message kwa watu wenye matatizo maishani.
2. Ameenda na beat vizuri.
3. Amezingatia sana mizani na vina, rhymes and meter, mstari kwa mstari, vitu ambavyo ma rapper wengi siku hizi hawazingatii.
4. Ameweka balance ya kuimba na kurap katika wimbo wake.
5. Ameweka vionjo vyake kuufanya wimbo uwe jazzy kwa sax, reminding me of Guru's Jazzmattazz.
6. The video is well thought out, reflecting life's trouble and a resilient uplifting spirit.
Huu wimbo angeuimba Profesa Jay ungekuwa bonge la hit.
Why the hate?
View: https://youtu.be/ic04D3RccZs?si=iw_mLfHzOEOmeujg
Si kila mtu anataka kufanya unavyotaka wewe, labda yeye naye hiyo ndiyo style yake.Abadili flow mfumo wake wa kuimba ni uleule. Aimbe kweny Drill au Trap kutupa radha mpya. Yeye anachobadili ni message kwenye nyimbo ila flow na style ya kurap ni ileile
Kivipi?Anaathirika kisakolojia, si unajua wale waopenda kuheshimiwa.
Hakuna rapper anayeweza bila kuwezeshwa na ma producers, washabiki, masela wa kitaa, etc.Labda akiwezeshwa ataweza.
Mtu anayependa kujikweza akipuuzwa huwa anahisi maumivu makali utadhani kachomwa na kisu kumoyo kwani kujiona Yuko juu ya wenzake raha yakeKivipi?
Vigezo vimewekwa na Hiphop/Rap industry sio lazima mtu awe navyo vyote angalau vi 3 kati ya hivyo.Vigezo hivi nani kaweka? Source iko wapi? Mcs wote wakali duniani mbona hawafit vigezo hivyo
Sidhani kama hilo linahusiana na heshima.Mtu anayependa kujikweza akipuuzwa huwa anahisi maumivu makali utadhani kachomwa na kisu kumoyo kwani kujiona Yuko juu ya wenzake raha yake
Kumwezesha ninakomaanisha siyo kusapotiwa bali kufundushwa jinsi ya kurap. Masela wa kitaa na mashabiki mandazi wanaweza kumsapoti mtu hata kama hajui kurap. Mbona Steve mweusi aliimba pumba liking alisapotiwa.Hakuna rapper anayeweza bila kuwezeshwa na ma producers, washabiki, masela wa kitaa, etc.
So that goes without saying, for all rappers.
UMENENA!Huyu ana ndugu yake anaitwa Kontawa ni wapuuzi wapuuzi tu.