DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
We walk on the same loop ila kuna vitu vichache hujanielewa..Kwa hiyo 2Pac akiimba Dear Mama rapper mwingine haruhusiwi kuimba wimbo wa kumuenzi mama kwa sababu hiyo ni idea ya 2Pac?
Watu hawajui 🤣🤣Utashangaa sana, ukijua vina vya firauni diddy kwenye I need a girl Part 1, ni me, me, me na ngoma ikawa ni best selling song.
Sahih, mtu kama Fid kasimama zaka zote sababu licha kubadilika badilika lakin daima anazingatia message.jamaa anajua ni Real MC ana deliver message vizuri nampa maua yake.
Ina kuchaga ishu ya watu kusikiliza ngoma zako kwa vile wanapenda message unazotoa zina wa inspire. Ila kwa upande wa flow ns style ya uimbaji ndo ileile enzi na enzi
Ndo tujaribu kui criticize. Ndo maana wasanii wanasema Rap game hailipi kama uimbaji mwingine sababu hua ni hizo.
Ila wakiweza kubadili beat, flow na style ya uimbaji Rap itawalipa
Kad Go.Shukurani mkuu.
Nimesikiliza. Huyu nani?
Sishangai hata Kala alifanya hivyo kwenye Dear God na anachukua tuzo zote🤣Utashangaa sana, ukijua vina vya firauni diddy kwenye I need a girl Part 1, ni me, me, me na ngoma ikawa ni best selling song.
Kwa msingi huu, hakuna rapper atakayeweza ku rap, kwa sababu hakuna kitu ambacho hakijasemwa.Moja ya sifa muhim za msanii ni kuja na idea mpya, hii inathibitisha ubunifu wake.
Simply unapocopy idea ni unambless tu maua mwanzilishi.
Mfano Young Killer alipoandika Dear Gambe tangu hapo nikithibitisha dogo ana kichwa makini.
Best Rap..Kitu uzima, Noa kichwa hiyo Kiranga
Kubadili namna ya kurap sio kitu rahisi, maana style kwanza huwa ndio utambulisho wa msanii.jamaa anajua ni Real MC ana deliver message vizuri nampa maua yake.
Ina kuchaga ishu ya watu kusikiliza ngoma zako kwa vile wanapenda message unazotoa zina wa inspire. Ila kwa upande wa flow ns style ya uimbaji ndo ileile enzi na enzi
Ndo tujaribu kui criticize. Ndo maana wasanii wanasema Rap game hailipi kama uimbaji mwingine sababu hua ni hizo.
Ila wakiweza kubadili beat, flow na style ya uimbaji Rap itawalipa
Umetisha sanaSishangai hata Kala alifanya hivyo kwenye Dear God na anachukua tuzo zote🤣
Uko sahih, lakini inawezekana kabisa Rapper kuja na hoja mpya japo si mara zote ila hata zile zinazoexist basi inakua si copy ya moja kwa moja. Mbona Fid Q na Dizasta wanafanya hivyo na Ngoma zote ni Content tupu.Kwa msingi huu, hakuna rapper atakayeweza ku rap, kwa sababu hakuna kitu ambacho hakijasemwa.
Rap is not about kuja na idea mpya, it is more about kuja na namna mpya ya ku express ideas ambazo hata zilikuwapo.
Kwa hivyo, msanii wa kizazi hiki anaweza kutunga wimbo mzuri tu wa kumuenzi mama, aka express idea hiyo kivyake, na wimbo ukawa nzuri tu bila ya kuonekana kuwa "hii ni idea ya 2Pac".
In fact, hakuna kipya chini ya jua, hata 2 Pac alikuta wengine wame rap kuhusu mama zao, na yeye aka express idea ile ile kivyake aka hit.
Originality inakuwa na umuhimu sana kwenye expression, si kwenye idea.
Rap za braggadoccio ni idea ile ile tu, mimi mkali zaidi, mimi mbaya, hakuna anayeniweza. This idea has been done to death since tge days of Cool Herc, The Sugar Hill Gang, Run DMC, LL Cool J, Cool Moe Dee etc.
Lakini, jinsi watu tofauti wanavyo i express idea ile ile ndiyo panakuwa na originality na personal style.
Kad Go.Best Rap..
Huyu Anasound kama kad Go au Damian
Ukiachilia mbali Vina na Flow content ndo msingi wa Hip hop.Umetisha sana
Safi sasa Hapa Ndo umeonyesha Your OG..Kwa msingi huu, hakuna rapper atakayeweza ku rap, kwa sababu hakuna kitu ambacho hakijasemwa.
Rap is not about kuja na idea mpya, it is more about kuja na namna mpya ya ku express ideas ambazo hata zilikuwapo.
Kwa hivyo, msanii wa kizazi hiki anaweza kutunga wimbo mzuri tu wa kumuenzi mama, aka express idea hiyo kivyake, na wimbo ukawa nzuri tu bila ya kuonekana kuwa "hii ni idea ya 2Pac".
In fact, hakuna kipya chini ya jua, hata 2 Pac alikuta wengine wame rap kuhusu mama zao, na yeye aka express idea ile ile kivyake aka hit.
Originality inakuwa na umuhimu sana kwenye expression, si kwenye idea.
Rap za braggadoccio ni idea ile ile tu, mimi mkali zaidi, mimi mbaya, hakuna anayeniweza. This idea has been done to death since tge days of Cool Herc, The Sugar Hill Gang, Run DMC, LL Cool J, Cool Moe Dee etc.
Lakini, jinsi watu tofauti wanavyo i express idea ile ile ndiyo panakuwa na originality na personal style.
Anachosema Kiranga ni kuwa idea inaweza kuwa moja na ikaimbwa hata mara 500 lakini ukali wa msanii utatokana na namna alivyoiwasilisha idea hiyo.Uko sahih, lakini inawezekana kabisa Rapper kuja na hoja mpya japo si mara zote ila hata zile zinazoexist basi inakua si copy ya moja kwa moja. Mbona Fid Q na Dizasta wanafanya hivyo na Ngoma zote ni Content tupu.
Hao unaowatetea wewe ni vicha vibovu tu.
mtakuwa mnachanganya madesa.Halafu baada ya muda utasikia anasema pengo lango halizibiki nikifa wakati yeye ndo chanzo cha watu kuachana na hip-hop na kukumbatia taarab na singeli.
Nyambafu!
Sasa hakukua na maana kuita vina vya jamaa ni vya chekechea. Kinachotakiwa ni muziki ulete ladha na ujumbe ufikeUkiachilia mbali Vina na Flow content ndo msingi wa Hip hop.
Nimemuelewa sana tu, ninachopinga mimi ni ile kwamba Msanii bila Copy basi hana kitu kipya cha kubuni na kikahit. Hii me naikataa ni lazima msanii awe na fikra mpya japo si mara zote.Anachosema Kiranga ni kuwa idea inaweza kuwa moja na ikaimbwa hata mara 500 lakini ukali wa msanii utatokana na namna alivyoiwasilisha idea hiyo.
Tupac ameimba Dear Mama imekua kubwa na huenda mpaka sasa hakuna nyimbo ya mama iliyofikia ukubwa wa hiyo ya Pac, ila wasanii hawaachi kuimba. Ndio kama kina Ommy Dimpoz na Christian Bella na wengine
Hit em Up inatajwa kama best diss song of all time, haimaanishi kuwa wasanii wameacha kuimba nyimbo za dissing, sio kuwa wanamuiga Pac bali wanaelezea mambo yao ila ndio hivyo sasa hazifiki ukubwa wa hiyo Hit em Up. Idea karibu zote zimeshaimbwa, hakuna kitu kipya