DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
We walk on the same loop ila kuna vitu vichache hujanielewa..Kwa hiyo 2Pac akiimba Dear Mama rapper mwingine haruhusiwi kuimba wimbo wa kumuenzi mama kwa sababu hiyo ni idea ya 2Pac?
Kuimba Dear Mama hukatazwi kwa sababu unamuenzi mama Yako..
Ila kuchukua Wimbo wa 2Pac kuanza Kuchukua Ideas yake yote anavyomuelezea Mama yake halafu kuiimba ideas ile kwa Spanish Au Swahili au kislovak Na Ukachukua Ideas kuanzia Alivyoimba Intro mpaka Outro meehn that aint fine..
Ni kama Umetafsiri Nyimbo Ya 2Pac so we May call it "2pac Dear Mama 2.0" its Ideal Copying not an art