Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

Kwa hiyo 2Pac akiimba Dear Mama rapper mwingine haruhusiwi kuimba wimbo wa kumuenzi mama kwa sababu hiyo ni idea ya 2Pac?
We walk on the same loop ila kuna vitu vichache hujanielewa..
Kuimba Dear Mama hukatazwi kwa sababu unamuenzi mama Yako..

Ila kuchukua Wimbo wa 2Pac kuanza Kuchukua Ideas yake yote anavyomuelezea Mama yake halafu kuiimba ideas ile kwa Spanish Au Swahili au kislovak Na Ukachukua Ideas kuanzia Alivyoimba Intro mpaka Outro meehn that aint fine..

Ni kama Umetafsiri Nyimbo Ya 2Pac so we May call it "2pac Dear Mama 2.0" its Ideal Copying not an art
 
jamaa anajua ni Real MC ana deliver message vizuri nampa maua yake.

Ina kuchaga ishu ya watu kusikiliza ngoma zako kwa vile wanapenda message unazotoa zina wa inspire. Ila kwa upande wa flow ns style ya uimbaji ndo ileile enzi na enzi
Ndo tujaribu kui criticize. Ndo maana wasanii wanasema Rap game hailipi kama uimbaji mwingine sababu hua ni hizo.
Ila wakiweza kubadili beat, flow na style ya uimbaji Rap itawalipa
Sahih, mtu kama Fid kasimama zaka zote sababu licha kubadilika badilika lakin daima anazingatia message.
 
Kwa wale wenye sikio la mziki., Underated Remix ya Stamina
Mimi nimeichagua Verse ya Dizasta kama verse kali zaidi licha kwamba ni fupi na haina majigambo lakini ina content kushinda verse zote mle ikifuatiwa na verse ya P Mawenge.

Lakini watoto wa afu2 watasema Nacha au Maarifa ndo alitisha.
 
Moja ya sifa muhim za msanii ni kuja na idea mpya, hii inathibitisha ubunifu wake.
Simply unapocopy idea ni unambless tu maua mwanzilishi.
Mfano Young Killer alipoandika Dear Gambe tangu hapo nikithibitisha dogo ana kichwa makini.
Kwa msingi huu, hakuna rapper atakayeweza ku rap, kwa sababu hakuna kitu ambacho hakijasemwa.

Rap is not about kuja na idea mpya, it is more about kuja na namna mpya ya ku express ideas ambazo hata zilikuwapo.

Kwa hivyo, msanii wa kizazi hiki anaweza kutunga wimbo mzuri tu wa kumuenzi mama, aka express idea hiyo kivyake, na wimbo ukawa nzuri tu bila ya kuonekana kuwa "hii ni idea ya 2Pac".

In fact, hakuna kipya chini ya jua, hata 2 Pac alikuta wengine wame rap kuhusu mama zao, na yeye aka express idea ile ile kivyake aka hit.

Originality inakuwa na umuhimu sana kwenye expression, si kwenye idea.

Rap za braggadoccio ni idea ile ile tu, mimi mkali zaidi, mimi mbaya, hakuna anayeniweza. This idea has been done to death since tge days of Cool Herc, The Sugar Hill Gang, Run DMC, LL Cool J, Cool Moe Dee etc.

Lakini, jinsi watu tofauti wanavyo i express idea ile ile ndiyo panakuwa na originality na personal style.
 
jamaa anajua ni Real MC ana deliver message vizuri nampa maua yake.

Ina kuchaga ishu ya watu kusikiliza ngoma zako kwa vile wanapenda message unazotoa zina wa inspire. Ila kwa upande wa flow ns style ya uimbaji ndo ileile enzi na enzi
Ndo tujaribu kui criticize. Ndo maana wasanii wanasema Rap game hailipi kama uimbaji mwingine sababu hua ni hizo.
Ila wakiweza kubadili beat, flow na style ya uimbaji Rap itawalipa
Kubadili namna ya kurap sio kitu rahisi, maana style kwanza huwa ndio utambulisho wa msanii.

Ili kuupa muziki ladha, kinachoweza kubadilishika kwa urahisi ni midundo, hii ikibadilika basi hata wapokeaji wa muziki wanaona ni kama ladha mpya hata kama flow style ni ileile ya zamani. Hapa rejea uwepo wa kina Mike Will Made It au Dj Mustard walivyoweza kubadilisha muziki wa wakongwe lakini kwa flow zilezile za zamani
 
Kwa msingi huu, hakuna rapper atakayeweza ku rap, kwa sababu hakuna kitu ambacho hakijasemwa.

Rap is not about kuja na idea mpya, it is more about kuja na namna mpya ya ku express ideas ambazo hata zilikuwapo.

Kwa hivyo, msanii wa kizazi hiki anaweza kutunga wimbo mzuri tu wa kumuenzi mama, aka express idea hiyo kivyake, na wimbo ukawa nzuri tu bila ya kuonekana kuwa "hii ni idea ya 2Pac".

In fact, hakuna kipya chini ya jua, hata 2 Pac alikuta wengine wame rap kuhusu mama zao, na yeye aka express idea ile ile kivyake aka hit.

Originality inakuwa na umuhimu sana kwenye expression, si kwenye idea.

Rap za braggadoccio ni idea ile ile tu, mimi mkali zaidi, mimi mbaya, hakuna anayeniweza. This idea has been done to death since tge days of Cool Herc, The Sugar Hill Gang, Run DMC, LL Cool J, Cool Moe Dee etc.

Lakini, jinsi watu tofauti wanavyo i express idea ile ile ndiyo panakuwa na originality na personal style.
Uko sahih, lakini inawezekana kabisa Rapper kuja na hoja mpya japo si mara zote ila hata zile zinazoexist basi inakua si copy ya moja kwa moja. Mbona Fid Q na Dizasta wanafanya hivyo na Ngoma zote ni Content tupu.
Hao unaowatetea wewe ni vicha vibovu tu.
 
Safi sasa Hapa Ndo umeonyesha Your OG..
Kwamba Unakuja na style ile ile ila kwa ideas ambayo haikufanyi mtu akisikiliza moja kwa moja aseme Mbona kama Ideas ya 2 PAC hii..
Thats Cool..

Mfano: Nipo Bize ya Jafarai sio sawa na Nyimbo ya Nipo Bize ya Xouz japo zote ni idea moja na sio sawa na Ile nyimbo ya Mr Blue Tabasamu
 
Uko sahih, lakini inawezekana kabisa Rapper kuja na hoja mpya japo si mara zote ila hata zile zinazoexist basi inakua si copy ya moja kwa moja. Mbona Fid Q na Dizasta wanafanya hivyo na Ngoma zote ni Content tupu.
Hao unaowatetea wewe ni vicha vibovu tu.
Anachosema Kiranga ni kuwa idea inaweza kuwa moja na ikaimbwa hata mara 500 lakini ukali wa msanii utatokana na namna alivyoiwasilisha idea hiyo.

Tupac ameimba Dear Mama imekua kubwa na huenda mpaka sasa hakuna nyimbo ya mama iliyofikia ukubwa wa hiyo ya Pac, ila wasanii hawaachi kuimba. Ndio kama kina Ommy Dimpoz na Christian Bella na wengine

Hit em Up inatajwa kama best diss song of all time, haimaanishi kuwa wasanii wameacha kuimba nyimbo za dissing, sio kuwa wanamuiga Pac bali wanaelezea mambo yao ila ndio hivyo sasa hazifiki ukubwa wa hiyo Hit em Up. Idea karibu zote zimeshaimbwa, hakuna kitu kipya
 
Halafu baada ya muda utasikia anasema pengo lango halizibiki nikifa wakati yeye ndo chanzo cha watu kuachana na hip-hop na kukumbatia taarab na singeli.

Nyambafu!
mtakuwa mnachanganya madesa.
Kwanza huyo kijana sijawahi kumsikia ndio nimesoma jina lake kwa thread hii.
Shida mkisia mtu afoka foka mnasema ni mwana hip hop. Huenda anafanya mumble rap maana hata huko US wapo na mumble rap wanajali tu vitu vinavyo sound good kwa masikio ya watu hata kama havimake sense. Inawezekana kabisa mstari mmoja ukawa hauna connection na mstari unaofuata.
Sasa unaweza kukuta mtu anamponda huyo jamaa huku akiwa die hard fan wa 6ix9ine kisa tu anarap kwa kiingereza.
Mumble rap wanaiapenda emotionally confused teens
 
Anachosema Kiranga ni kuwa idea inaweza kuwa moja na ikaimbwa hata mara 500 lakini ukali wa msanii utatokana na namna alivyoiwasilisha idea hiyo.

Tupac ameimba Dear Mama imekua kubwa na huenda mpaka sasa hakuna nyimbo ya mama iliyofikia ukubwa wa hiyo ya Pac, ila wasanii hawaachi kuimba. Ndio kama kina Ommy Dimpoz na Christian Bella na wengine

Hit em Up inatajwa kama best diss song of all time, haimaanishi kuwa wasanii wameacha kuimba nyimbo za dissing, sio kuwa wanamuiga Pac bali wanaelezea mambo yao ila ndio hivyo sasa hazifiki ukubwa wa hiyo Hit em Up. Idea karibu zote zimeshaimbwa, hakuna kitu kipya
Nimemuelewa sana tu, ninachopinga mimi ni ile kwamba Msanii bila Copy basi hana kitu kipya cha kubuni na kikahit. Hii me naikataa ni lazima msanii awe na fikra mpya japo si mara zote.
 
Back
Top Bottom