nG'aMBu
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,055
- 3,120
Tatizo kubwa la game ya muziki wa Tanzania, kuna watu fulani usipowapigia magoti na 'kuwalamba' kutoboa ni ngumu sana. Kwa sababu kuna kundi fulani ndio liliwashika hadi wadhamini wakubwa, huwezi kwenda tu let's say Tigo, Voda, TBL, SBL na makampuni mengine makubwa ya udhamini bila 'mgongo' wao. Na nikiiangalia life style ya Belle 9 hana management ya namna hiyo ndo maana jamaa wanabana kinoma. Naamini kabisa wanajua kwamba dogo yuko vizuri na akipewa nafasi anaweza kuwafunika wengi tu.
Mwisho kabisa, katika kufikia full success kwenye maisha BAHATI ina play pati kubwa mno!
Yap kk iyo ndio ishu hakuna kingine, ndio kuna kipindi fulan vinega walianzisha vita sijui waliishia wap ila kwa namna moja ama nyingine ilisaidia kuifahamisha jamii kuhusu huu umungu mtu