Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

Msanii Belle 9 amewakosea nini Watanzania? Kwanini anapuuzwa? Ni wapi anakosea?

Tatizo kubwa la game ya muziki wa Tanzania, kuna watu fulani usipowapigia magoti na 'kuwalamba' kutoboa ni ngumu sana. Kwa sababu kuna kundi fulani ndio liliwashika hadi wadhamini wakubwa, huwezi kwenda tu let's say Tigo, Voda, TBL, SBL na makampuni mengine makubwa ya udhamini bila 'mgongo' wao. Na nikiiangalia life style ya Belle 9 hana management ya namna hiyo ndo maana jamaa wanabana kinoma. Naamini kabisa wanajua kwamba dogo yuko vizuri na akipewa nafasi anaweza kuwafunika wengi tu.

Mwisho kabisa, katika kufikia full success kwenye maisha BAHATI ina play pati kubwa mno!

Yap kk iyo ndio ishu hakuna kingine, ndio kuna kipindi fulan vinega walianzisha vita sijui waliishia wap ila kwa namna moja ama nyingine ilisaidia kuifahamisha jamii kuhusu huu umungu mtu
 
Unataka atoke vipi mkuu,,,, ?? mbona yuko vizuri tu. Sema hajipendekezi kwa kina Ruge kama wafanyavyo wa kina Neema. anaijua thamani yake na sisi tunaejua uwezo wake tuko poa nae.

Kwangu mimi na walio wengi wanajua fika huyu jamaa hajatoka kabisa!
 
Mbona sioni kama Bell 9 ana tatizo na Clouds? Mbona nyimbo yake.hupigwa?

Mkuu kuna kipindi waliacha kabisa kupiga nyimbo zake walikua na bifu then baadae wakapatanishwa lakini bado clouds wanakinyongo naye sababu kuna mambo anaona anaburuzwa
Clouds hivi sasa wamekuja na mtindo mpya wakikupotezea watapiga nyimbo zako kimtindo then kimyaa
Unaona akina Nature prof jay na wengine, zinapigwa nyimbo zao lakini hawapati airtime ya kutosha kama ommy dimpoz au alikiba nk

Kinachomfanya Belle akawa hivyo ni anaamini anakipaji na hahitaji kumbyenyekea mtu ili apate promo kwa unyonyaji

Unapozungumzia management mkuu utazungumzia watu walewale tu
Diamond, yamoto band, Ay Fa chege temba, v money Ommy dimpoz Ben pol Barnaba Linah nk nk wote hao wanapitia mikononi kwa watu walewale tu.
Asijudanganye mtu ati menejiment sijui nini, kama hutawaangukia madon hutapata airtime ya kutosha hutapata shows wala hutapata matangazo
 
diamond-Nyota ndo tatizo langu!!(nyota ya kukubalika hana!!)
 
Teh Teh Ngwajima atoe single...

Hiyo single amshirikishe chorus Belle 9 Wimbo uhusu janga la ajali za mabasi TZ...

Yeye a-rap style yake TAMKO. ila kwenye Adkofu Pengo aweke madereva wazembe kwenye maharagen ya wapi atupie viroba vya wapi,Bangi ya wapi... mwishooooni Sauti ya Jotiinamalizia Afuuuuu weeeeee Dereeeeee
 
Belle 9 alikosea alipozinguana na kina Mchomvu kipind flan!

Akarudi Moro kwa mda flani, alipo kuja kushtuka tayari mchezo ulikuwa ushamtupa nje, japokuwa alifanya kumake peace na kina Mchomvu lakin tayar alikuwa kishachelewa, alishindwa kucheza na muda! But kama akitaka KUWEKEZA KWA NGUVU ZOTE ATARUDI TU (watu wanaoijua music industry ya bongo watakuwa wameelewa),

Sometimes talent inatakiwa iambatane na bidii, na katika kupigania mafanikio yako always kuwa karibu na watu waliokutangulia na wanaoujua huu mziki wa bongo vizuri na fata ushauri wao na siyo wa MASELA uliokuwa nao kitaa!

When kiba and diamond started huu mziki walikutana na changamoto zile zile alizokutana nazo belle 9 (kunyonywa, kutukanwa, kudhalilishwa n.k) but waliamua kuwa wavumilivu na kufata yale waliokuwa wanaelekezwa na heads wa hii industry ya bongo, NA sasa hata show iwe ya mtu gani kama huwalipi kiasi wanachotaka hawapigi show.

Ushauri wa MASELA umewapoteza
1. Juma Nature
2. Stopa rymes
3. T.I.D
4. Izzo bizness
5. Nikki Mbishi
6. Joselyn
7. Dogo Janja
8. Z Anto

Na wengineo!

Haijalishi ni muda gani uliokuwepo kwenye Game, but ni jinsi gan unavyoishi ndani ya hiyo game, coz Jide, Prof, Mwana FA, Fidq, AY, D knob, Etc still wanaHold it down tena vibaya sana!

MAFANIKIO huja na mengi, so unapofanikiwa ili kumaintain status yako chagua kuwa karibu na watu ambao wanaelewa status yako kwenye jamii..
 
Nadhani pia humu humu iliwahi jadiliwa ishu ya Belle 9.....ila jamaa naamini ni mkali sana ila bahati na management ndivyo vinavyomuangusha!! Nilifurahi kuona hata watu wanaoujua muziki kama Christian Bella kusema Belle ni mmoja wa wasanii watatu bora kwake katika bongo flavor... Link ni hii
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=465989
Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9
 
Ni nimeshindwa hata cha kuchangia, Jamaa anaweza sana..kuna ngima mpya inaitwa Shauri zao ni hatari tupu!!
 
Nahisi bahati nayo ina nafasi yake kwa mwanamziki kutusua, Belle 9 anajua sana kuimba yaani katika wasanii wabongo dogo ni mkali ila ndio hivyo hana bahati ya nyimbo zake kupendwa na mashabiki. Labda aanzishe bifu la kiaina na mbongo flava mwingine inaweza kumsaidia
 
Belle9 ni moja ya wasanii bora tz.yani kwa mtu yeyote ambae ni muumini wa mziki mzuri lazima alikubali hilo.mwenyewe uwa najiuliza pia sijui kakosea wapi...labda sio mtu wa kujipendekeza kwa wadau walioshikilia game..
 
Nadhani pia humu humu iliwahi jadiliwa ishu ya Belle 9.....ila jamaa naamini ni mkali sana ila bahati na management ndivyo vinavyomuangusha!! Nilifurahi kuona hata watu wanaoujua muziki kama Christian Bella kusema Belle ni mmoja wa wasanii watatu bora kwake katika bongo flavor... Link ni hii
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=465989
Nilichokisikia kuhusu mkakati wa kummaliza kimuziki Belle 9

Sizani kama hii ina ukweli..
 
Nampenda sana sina ushahidi wa kudhibitisha naamini iko siku media na watanzania watamuelewa km ambavyo ninavyomwuelewa mm
 
Hapana kidogo belle 9 =matonya? Kwakweli umemkosea heshima b9

Matonya alishawai kula matunda ya sanaa na hata ukiuliza watu watakuonesha mafanikio yake kabisa.
 
Belle 9 alikosea alipozinguana na kina Mchomvu kipind flan!

Akarudi Moro kwa mda flani, alipo kuja kushtuka tayari mchezo ulikuwa ushamtupa nje, japokuwa alifanya kumake peace na kina Mchomvu lakin tayar alikuwa kishachelewa, alishindwa kucheza na muda! But kama akitaka KUWEKEZA KWA NGUVU ZOTE ATARUDI TU (watu wanaoijua music industry ya bongo watakuwa wameelewa),

Sometimes talent inatakiwa iambatane na bidii, na katika kupigania mafanikio yako always kuwa karibu na watu waliokutangulia na wanaoujua huu mziki wa bongo vizuri na fata ushauri wao na siyo wa MASELA uliokuwa nao kitaa!

When kiba and diamond started huu mziki walikutana na changamoto zile zile alizokutana nazo belle 9 (kunyonywa, kutukanwa, kudhalilishwa n.k) but waliamua kuwa wavumilivu na kufata yale waliokuwa wanaelekezwa na heads wa hii industry ya bongo, NA sasa hata show iwe ya mtu gani kama huwalipi kiasi wanachotaka hawapigi show.

Ushauri wa MASELA umewapoteza
1. Juma Nature
2. Stopa rymes
3. T.I.D
4. Izzo bizness
5. Nikki Mbishi
6. Joselyn
7. Dogo Janja
8. Z Anto

Na wengineo!

Haijalishi ni muda gani uliokuwepo kwenye Game, but ni jinsi gan unavyoishi ndani ya hiyo game, coz Jide, Prof, Mwana FA, Fidq, AY, D knob, Etc still wanaHold it down tena vibaya sana!

MAFANIKIO huja na mengi, so unapofanikiwa ili kumaintain status yako chagua kuwa karibu na watu ambao wanaelewa status yako kwenye jamii..

Tatizo ni kwamba tangia aanze muziki hakuwai kupiga hatua..
 
Yap kk iyo ndio ishu hakuna kingine, ndio kuna kipindi fulan vinega walianzisha vita sijui waliishia wap ila kwa namna moja ama nyingine ilisaidia kuifahamisha jamii kuhusu huu umungu mtu

Sasa kama huwezi kuwapiga kwanini husiungane nao?
 
Back
Top Bottom