Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

Ni ngumu kuacha, ukiweka siasa na kiki pembeni
 
Addiction ni ngumu kuondoka lol,Sijui alivyo tibiwa first time walimpa action plan ambayo inainclude risk assessment???
 
Huyu jamaa sasa kwisha habari yake duuh kweli ngada mbaya sana, amtafute Ray C ampe siri ya mafanikio yake.
 
Ipi bora, vita ya DAB japo ilikua na mapungufu yake au hii ya kimyakimya tuliyoambiwa inaendeshwa ki ustaadi na ufanisi chini ya mteule kamishna?

Hili janga linaangamiza sana nguvu kazi ya taifa.
Yani bila kuua shina tatizo halitaisha kamwe, Makonda alianza vizuri, japo watz watumiaji Wa hiyo kitu wakasema hana adabu.
Sasa tokea imeundwa tume, sijui ndo wamewamaliza kimyakimya au?
 
Ipi bora, vita ya DAB japo ilikua na mapungufu yake au hii ya kimyakimya tuliyoambiwa inaendeshwa ki ustaadi na ufanisi chini ya mteule kamishna?

Hili janga linaangamiza sana nguvu kazi ya taifa.
Yani bila kuua shina tatizo halitaisha kamwe, Makonda alianza vizuri japo watz watumiaji Wa hiyo kitu wakasema hana adabu.
Sasa tokea imeundwa time sasa sijui ndo wamewamaliza kimyakimya au? Na mzgo inaonesha wszi unaingia nchini kama kawa kws njia za panya.
 
images
tusimlaumu mchizi hivi vitu siyo mchezo mpaka kuacha
 
Back
Top Bottom