wegman
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,468
- 2,090
Yaah kweli hayuko determined tho huwa nasikia kuacha ngada ni kazi sana.Determination, hayuko determined.
Rayc alikuwa na lengo akaanguka kanyanyuka tena. Ni kazi ngumu sana kuacha madawa, kama huna nia unachemka tu