Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

Msanii Chid Benz akamatwa tena na dawa za kulevya

Determination, hayuko determined.
Rayc alikuwa na lengo akaanguka kanyanyuka tena. Ni kazi ngumu sana kuacha madawa, kama huna nia unachemka tu
Yaah kweli hayuko determined tho huwa nasikia kuacha ngada ni kazi sana.
 
Pole yake.sielewi kwa nini kuacha hii kitu ni ngumu.wengi hurudia kutumia.
Wenyewe wanasema raha wanayoipata ni mara 1000 ya ile anayoipata mtu anapokuwa amekaribia kabisa kurusha wazungu. Kwa hawa ile kitu inabaki constant kwa masaa kadhaa. Just imagine that. No wonder hawaachagi😀
 
Back
Top Bottom