Acha kufananisha Barnaba na vitu vya kijinga....Binafsi sijuagi BARNABA sijui SHILOLE wanaimbaga nini
Yani bila kuua shina tatizo halitaisha kamwe, Makonda alianza vizuri, japo watz watumiaji Wa hiyo kitu wakasema hana adabu.Ipi bora, vita ya DAB japo ilikua na mapungufu yake au hii ya kimyakimya tuliyoambiwa inaendeshwa ki ustaadi na ufanisi chini ya mteule kamishna?
Hili janga linaangamiza sana nguvu kazi ya taifa.
Yani bila kuua shina tatizo halitaisha kamwe, Makonda alianza vizuri japo watz watumiaji Wa hiyo kitu wakasema hana adabu.Ipi bora, vita ya DAB japo ilikua na mapungufu yake au hii ya kimyakimya tuliyoambiwa inaendeshwa ki ustaadi na ufanisi chini ya mteule kamishna?
Hili janga linaangamiza sana nguvu kazi ya taifa.
Halisikii dawa "Sijasema mimi..............mambo ya wahenga!Sikio la kufa,.....
sent from Sanduku la Posta using JamiiForums mobile app
Lakini kumbuka maisha yake yako mikononi mwake mwenyewe!tusimlaumu mchizi hivi vitu siyo mchezo mpaka kuacha