wegman JF-Expert Member Joined Jan 8, 2016 Posts 1,468 Reaction score 2,090 Aug 18, 2017 #141 Clueless14 said: Determination, hayuko determined. Rayc alikuwa na lengo akaanguka kanyanyuka tena. Ni kazi ngumu sana kuacha madawa, kama huna nia unachemka tu Click to expand... Yaah kweli hayuko determined tho huwa nasikia kuacha ngada ni kazi sana.
Clueless14 said: Determination, hayuko determined. Rayc alikuwa na lengo akaanguka kanyanyuka tena. Ni kazi ngumu sana kuacha madawa, kama huna nia unachemka tu Click to expand... Yaah kweli hayuko determined tho huwa nasikia kuacha ngada ni kazi sana.
Moe Szyslak JF-Expert Member Joined Nov 6, 2016 Posts 354 Reaction score 702 Aug 19, 2017 #142 'Ukitaka kufuga chatu, andaa unga wa kumlisha' - Fid Q
Night Watch JF-Expert Member Joined Apr 4, 2017 Posts 2,092 Reaction score 2,126 Aug 19, 2017 #143 Yani bado ajaacha haya mambo.
Consultant JF-Expert Member Joined Jun 15, 2008 Posts 11,503 Reaction score 20,892 Aug 19, 2017 #144 kisukari said: Pole yake.sielewi kwa nini kuacha hii kitu ni ngumu.wengi hurudia kutumia. Click to expand... Wenyewe wanasema raha wanayoipata ni mara 1000 ya ile anayoipata mtu anapokuwa amekaribia kabisa kurusha wazungu. Kwa hawa ile kitu inabaki constant kwa masaa kadhaa. Just imagine that. No wonder hawaachagi😀
kisukari said: Pole yake.sielewi kwa nini kuacha hii kitu ni ngumu.wengi hurudia kutumia. Click to expand... Wenyewe wanasema raha wanayoipata ni mara 1000 ya ile anayoipata mtu anapokuwa amekaribia kabisa kurusha wazungu. Kwa hawa ile kitu inabaki constant kwa masaa kadhaa. Just imagine that. No wonder hawaachagi😀