TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Vijana wanaondoka wadogo sana wengine fame ndiyo chanzo, sasa sijajua kama alitubu alivyo mpigia debe shetwan akiwa na mbossonyo au ndiyo shettwaa atakuwa mwenyeji wake kwenye makao mapya.
Nilitaka nisema ila kwa vile umesema siongezi neno..labda kuongez ongeza tu vinyama ni kwamba..Ey my Young brothers Fame It Kills, make sure You put God First📌..jamaa alivuma chap sana then imekuw mda mfupi kakata Anyway..Shetan amepitaa
 
Mwenyezi Mungu ampumzisheje? wakati alikuwa anaimba nyimbo za mtu mwingine, Mungu anapumzisha mtu aliyekufa akiwa anafanya kazi yake tu.
Ndugu msanii aende kwa amani ya kidunia
 
Najairibu kuelezea jinsi life lilivyo delicate and very unfair for some people
Nakaribia kuishi mara mbili ya umri wa 2pac, halafu sina impact au legacy yoyote ya maana nitakayoiacha kwa jamii niliyoishi!!! , Why the good die young? That's very disturbing!!
I've got the same thoughts!
very unfair!
 
Uliambiwa nyimbo za kidunia ni za Mungu?,au mnapenda kubishana bila sababu za msingi?,amefariki kwenye stej anaimba mambo ya duniani,hapo watu wamevaa uchi 99,%,walevi wa pombe sigara humo,wanao zini,kubambiana humo yaani kila aina ya uchafu huwa inapatikana humo,afu unabisha nn Sasa?
Acha upuuzi mkuu hakuna nyimbo za kidunia wala za kimungu,hayo maimani yenu muwe mnachanganya na akili zenu
 
Hata Kama haileweshi,Kuna kitabu chochote Cha dini inayo mwamini Mungu wamehalalisha sigara?hata Kama mtu ulikuwa una mkubali ila Kuna mda ukweli usemwe wengine wajifunze.
Kuna kitabu chochote cha dini kimehalalisha kula mrenda,ugali au wali!? Reasoning capacity yako ni 0.5%
 
Back
Top Bottom