TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

Wengi wanasema madawa ya kulevya ndio sababu
Alianguka akaamka tena kuendelea kuimba na akaanguka tena
Mtu wa kawaida alipoanguka angeshtuka na kusubiri huduma ya kwanza

Wengine wanasema ni heart attack sasa tusubiri ukweli tu atakapopimwa na kutangazwa
Screenshot_20230314_064758_Chrome.jpg
 
Wengi wanasema madawa ya kulevya ndio sababu
Alianguka akaamka tena kuendelea kuimba na akaanguka tena
Mtu wa kawaida alipoanguka angeshtuka na kusubiri huduma ya kwanza

Wengine wanasema ni heart attack sasa tusubiri ukweli tu atakapopimwa na kutangazwa View attachment 2550160

Wanasema alikuwa hatumii kikevi chochote kile kwa sababu alikuwa ana kifafa ,kama umeona video oale chin alikakamaa kama watu wa kifafa wanavyokuwa,nadhan kungekuwa na mtu wa afya angemsaidia kama daktari wake kwa sababu alikuwa anajijua ana shida hiyo ,na hizo kelele na taa
 
Back
Top Bottom