Kichwa Ze Don
Senior Member
- Jun 7, 2017
- 198
- 321
KiukweLi country boy alivoenda konde gang alipunguza sana makaLi yaani ilikua n tofaut na zamani alkua akitoa ngoma mji mzma unaelewa
UkweLi sidhani kama atarudi teNa kwenye uLe ubora wake naona ndo atakua kama chin bees tu kwenye trap ya bongo zama zao kama zitaondoka moja kwa moja hv iLa namuombea arudi kama zamani🙏🙏Huyu anaenda kupotea kabisa bora angebaki Konde Gang tu
Hii music label itakuja kuwa msaada mkubwa sana kwa wasanii dunianiHii ni label au kikundi Cha wasanii?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hii music label itakuja kuwa msaada mkubwa sana kwa wasanii duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Country boy kwa upande wangu niliona toka ajiunge na konde gang alishuka. Kuna kipindi nilianza kuona kama mziki wake ulikuwa una take off, zile ngoma za vijana kama kibegi, wanaona haya na ngoma zake nyingine za trap zilifanya poa sana.Leo Tarehe 08/01/2021 Kupitia Ukarasa Rasmi Wa Instagram Wa Kondegang Umethibisha Mkataba Wa Country Wizzy Na Kondegang Umefika Tamati ...,
Kuanzia Sasa Country Wizzy Atakuwa Msanii Anayetegemea ..., Za Chini Ya Kapeti Killy Na Cheed Nao Wanataka Kujitoa Ila Boss Wao Harmonize Anataka Gharama Zakuvunja MkatabaView attachment 2074076