Msanii Diamond atoboa pua

Unajua nini, usimfananishe Mondi na Brown, Momdi yuko juu sana kwa hapa Africa, Brown alikuwa juu zamani kwa US, so si chochote kwa Mondi. Ila huku kutoboa pua ni kutupiga na kitu kizito
hapo kwenye cb na mondi nakupinga mkuu cb ni next level world wide usije ukasema cb si kitu kwa mondi aloooo umechanganyikiwa? mtu mwenye rekodi nzuri ya mziki mtu mwenye biashara new york aloooo kaka mbingu na ardhi si sawa
 
Maybe jamaa na yeye anatafta kufanana na Chrus Brown ili na yeye apate hata collabo nae.
Maana kina Wizkid na Davido wote wametoa ngoma na CB, so chalii na yeye anatafta kufanana nae ili at least na yeye aonekane
Kufanya kolabo CB si kipimo cha kutoboa.
 
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi was sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo choko Kama una akili timamu !
Kosa,kubwa kutuhusu mtoto wako aanze kuwafatilia wasanii kama hawa

Ova
 


umepanick kiongozi,japo ni kweli kwa kazi na wasifu wake diamond hayo ni mambo ya kawaida kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…