Msanii Diamond atoboa pua

Wamsaidie huyu jamaa, vilevi vyote unaweza kutumia ukaficha usigundulike ila ukishaanza kubwia matakataka hakuna pa kujificha
 
Wewe acha kuwa kama taahira , hakuna kitu kama ‘in difficult moment’. Tafsiri sahihi ni hiyo aliyokupa jamaa, huwezi kutafsiri moja kwa moja kama sentensi ilivyo kama unavyofanya wewe
inabid akimwona mwalimu wake wa ngeli amchape makofi anaandika kingereza cha wapi hicho ?
 
Nafikiri anaelekea mwisho!ngoma ikilia Sana mwisho wake ni lele!
 
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi wa sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo Kama una akili timamu !
hongera mkuu. Ila una uhakika unachokinena?
 
Yote haya anamuiga Asake... soo lame!
Fikra za kimasikini

Soma
Mhubiri 5:10-12

10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa.

11 Ongezeko la mali huleta ongezeko la walaji, naye mwenye mali yamfaa nini isipokuwa kuitazama tu mali yake?

12 Usingizi wa kibarua ni mtamu, awe ameshiba au amekula kidogo tu. Lakini usingizi wa tajiri ni wa wasiwasi daima, maana ziada ya mali yake humsumbua usiku kucha.
 
Kwa wewe unavyotafsiri na inategemeana na sehemu mfano baadhi ya nchi suala ushoga mtu hajavuka mipaka lakini sehemu nyingine ni marufuku na ni kosa kubwa.
Nimetafsiri kutokana na sheria za Tanzania ambapo ndipo anapoishi huyu anayejadiliwa kwenye hii mada husika.
Kutoboa pua, masikio au kuchora tattoo si kosa kisheria katika nchi ya Tanzania.
 
Akili ni nywele, wewe una wigi la makabichi!
 
Mkuu unaishi wapi hadi ujiaminishe hawazijui nyimbo zake
Hata mimi wala Watoto wangu hawajui nyimbo zake. Wanajua nyimbo za kisabato na kuzipenda.

Kama humpendi na haupo interested na kazi zake huwezi kuzijua

Kwahiyo inawezekana kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…