BakiliMuluzi
JF-Expert Member
- Oct 17, 2022
- 1,578
- 2,353
Wamsaidie huyu jamaa, vilevi vyote unaweza kutumia ukaficha usigundulike ila ukishaanza kubwia matakataka hakuna pa kujificha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inabid akimwona mwalimu wake wa ngeli amchape makofi anaandika kingereza cha wapi hicho ?Wewe acha kuwa kama taahira , hakuna kitu kama ‘in difficult moment’. Tafsiri sahihi ni hiyo aliyokupa jamaa, huwezi kutafsiri moja kwa moja kama sentensi ilivyo kama unavyofanya wewe
And that is a haya in a nutshell, ladies and gentlemenHawamjui huyo Jamaa
Mimi wanangu sio waswahili Mkuu
hongera mkuu. Ila una uhakika unachokinena?Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja
Wazazi wa sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo Kama una akili timamu !
hawaangalii hata tangazo la airtel?Hawamjui huyo Jamaa
Mimi wanangu sio waswahili Mkuu
Case closed.Ni maisha yake, mwache aishi anavyotaka.
Fikra za kimasikiniYote haya anamuiga Asake... soo lame!
Nimetafsiri kutokana na sheria za Tanzania ambapo ndipo anapoishi huyu anayejadiliwa kwenye hii mada husika.Kwa wewe unavyotafsiri na inategemeana na sehemu mfano baadhi ya nchi suala ushoga mtu hajavuka mipaka lakini sehemu nyingine ni marufuku na ni kosa kubwa.
Ni mtu mzima, nina mke na watoto. Kwenye ndoa watatu na nje ya ndoa mmoja.Unamiaka mingapi
Akili ni nywele, wewe una wigi la makabichi!Fikra za kimasikini
Soma
Mhubiri 5:10-12
10 Apendaye fedha hatatosheka na fedha; wala atamaniye mali hata akiipata hatatosheka. Hilo nalo ni bure kabisa.
11 Ongezeko la mali huleta ongezeko la walaji, naye mwenye mali yamfaa nini isipokuwa kuitazama tu mali yake?
12 Usingizi wa kibarua ni mtamu, awe ameshiba au amekula kidogo tu. Lakini usingizi wa tajiri ni wa wasiwasi daima, maana ziada ya mali yake humsumbua usiku kucha.
Aha sawa bahnaNi mtu mzima, nina mke na watoto. Kwenye ndoa watatu na nje ya ndoa mmoja.
Hata mimi wala Watoto wangu hawajui nyimbo zake. Wanajua nyimbo za kisabato na kuzipenda.Mkuu unaishi wapi hadi ujiaminishe hawazijui nyimbo zake