Msanii Diamond atoboa pua

Msanii Diamond atoboa pua

2pac unamjua mzee wa dear Mama national Anthem ya dunia
Alitoboa pua

Kila mtu ana Uhuru wa mwili wake kufatilia Maisha ya Wanaume wenzio Ni dalili za uchokoo

Sifatilii mziki wa Tz ila sipendi mambo za kufatilia watu naamini Ni tabia za kike za watu waliokata tamaa mashoga nk
 
inategemea umelelewa vipi.
Wapo mastar ila hawana hizo tabia
Wapo watu wana hela chafu ila hawana hzo tabia
kwahyo malezi ndio yanatathmini ww utakua vipi na utafanya nn kwenye mtindo wa maisha yako. watoto wadogo tu skuhzi wanavaa hereni hadi puani mixer tattoo kama zote ni malezi tu.
mm ninauwezo wa kutoboa na kuchora tattoo ila nikiangalia nimetoka kwenye malezi gani bas siwez kufanya kwa heshima ya familia na jamaii inayonizunguka
 
2pac unamjua mzee wa dear Mama national Anthem ya dunia
Alitoboa pua

Kila mtu ana Uhuru wa mwili wake kufatilia Maisha ya Wanaume wenzio Ni dalili za uchokoo

Sifatilii mziki wa Tz hila sipendi. Mambo za kufatilia watu naamini Ni tabia za kike za watu waliokata tamaa mashoga nk
Diamond anafuatiliwa na watu wengi, hasa vijana wadogo, sasa utasemaje tusimfuatilie pale anapopotosha vijana?! Wewe ndio chokoo
 
Maybe jamaa na yeye anatafta kufanana na Chrus Brown ili na yeye apate hata collabo nae.

Maana kina Wizkid na Davido wote wametoa ngoma na CB, so chalii na yeye anatafuta kufanana nae ili at least na yeye aonekane
 
Diamomd anafuatiliwa na watu wengi, hasa vijana wadogo, sasa utasemaje tusimfuatilie pale anapopotosha vijana?! Wewe ndio chokoo
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi wa sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo Kama una akili timamu !
 
Maybe jamaa na yeye anatafta kufanana na Chrus Brown ili na yeye apate hata collabo nae.

Maana kina Wizkid na Davido wote wametoa ngoma na CB, so chalii na yeye anatafta kufanana nae ili at least na yeye aonekane
Unajua nini, usimfananishe Mondi na Brown, Mondi yuko juu sana kwa hapa Africa, Brown alikuwa juu zamani kwa US, so si chochote kwa Mondi. Ila huku kutoboa pua ni kutupiga na kitu kizito
 
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi was sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo choko Kama una akili timamu !
Kila mahali jamaa yupo, hata usipomfuatilia utakutana naye tu kwenye Media, haepukiki..., sasa anapopotosha vijana lazima tupaze sauti.., wewe ndio choko sasa
 
Mimi watoto wangu hawamjui Wala hawafahamu nyimbo yake hata moja

Wazazi was sasa hivi mnafanya watoto wawe machoko kimaksudi sasa we Mtu mzima unamfatiliaje huyo choko Kama una akili timamu !
Usimalize maneno maana mashoga hawaanzi kwa kufuatilia msanii fulani ushoga unaanza pale mwanao anapopigwa mkuyenge na akamwagiwa ndani.

Bado tupo duniani usije ukajidai umelea watt vizur kumbe ndo unawakegeza nati za marinda wakiguswa imoooo
 
Back
Top Bottom