Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Write your reply..."mi nikitoa msaada sitangazi sababu spendi show off na nimechangia barakoa na sanitizer kwa kijiji kizima na nimekataza media kulizungumzia hilo "

Ali kiba
Sasa mbona umeshatangaza humu, ungekaa kimya tu
 
Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..
 
Kuna mwingine alitoa msaada wa chakula kwenye mifuko uku aki warushia watu na kupost insta ..ni nani sijui hemu Nikumbushe nime msahau kidgo

[emoji81][emoji81][emoji81]kitulize
Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..
 
Nani ametoa bil 2 kwenye hili janga bila kutangaza?
Kik za Kipimbi tulishamzoea huyu hata akitoa msahada wa kiberiti kwa jirani atatangaza, kuna watu wanatoa misaada kimya kimya..

Kuna watu wametoa msaada wa janga la Corona, bilioni 2 kwa waziri Mkuu kimya kimya bila matangazo..

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Najua katika kipindi hiki cha Corona, mambo mengi hayajakaa sawa, hususan upande wa biashara....nyingi zimeshuka na kupelekea hali ya kifedha kuyumba na mambo kuwa kidogo Magumu kwa wengi wetu...ijapokuwa na mimi ni Miongoni mwa walio ndani ya janga hili, lakini nimeona walau kwa kidogo changu nilicho nacho, nitoe kusaidia kulipia kodi za Nyumba kwa miezi Mitatu mitatu kwa familia 500, walau kusaidiana Katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na Virusi hivi vya Corona...Licha ya kuwa Tiafa moja lakini siku zote mmekuwa Familia yangu kupitia Muziki wangu, hivyo naamini Shida yenu ni yangu, na Tabasamu lenu ni Langu pia....Jumatatu nitaweka rasmi Utaratibu wote wa namna gani Familia Hizi Miatano zinaweza kupata kodi hizo ya Nyumba....[emoji1374]
#HiliNaloLitapita #ShidaYakoNiYangu #PamojaTutaishindaCorona
.
.
(I pretty much know that at these terrible times where we are all fighting global pandemic COVID-19,countless life circumstances have changed especially in businesses, many businesses are drowning hence rendering to financial difficulties and life becoming a little bit tough to many of us. Although I am amongst those affected by this pandemic on Economy, with the little that God has blessed me with, I have decided to atleast offer a helping hand by paying 3 Months house rent to 500 families as my kind gesture of helping one another during these terrible times of fighting COVID-19 for I believe i should share your troubles and your happiness too. On Monday i shall announce procedure on how these 500 families shall receive house rent. [emoji1374])View attachment 1430165View attachment 1430166

Sent using Jamii Forums mobile app
Jambo zuri Sana hili
 
Yani apa ilibidi

Tanesco

Makampuni ya simu yatoe ofa

Ongeza Tanzangawizi na limau
 
Jambo jema sana sasa aende aka sign contract/mikataba na hao malandlord 500 awalipe kwenye akaunti zao......
safi sana heko asisahau kutupa mrejesho
Hongera sana kwake maisha ni kujitoa
 
Back
Top Bottom