Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Huu ninahisi utakuwa msaada mdogo kati ya misaada aliyowahi kutoa ukikokotoa hapo atakaowalipia kod utakuta ni walevyumba vyao vina range 30000 mpaka 50000 kwa mwezi which means kwa mieiz mitatu ni kama lak unusu sa kwa familia 500 itakuwa kama milion 70.Sio kitu cha ajabu, ashazoeleka kutoa misaada, ila hii ni kubwa kuliko.
Ninavyojua ashawahi kutoa misaada ya pesa nyiingi zaidi ya hili kipindi kile kwao tandale alipotoa hata pikipiki na mitaji