Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Na mimi ni mmoja wapo wa hizo kaya? utaratibu gani natakiwa nifanye ili mimi pia niingie.
Lakini kikubwa ni utekelezaji yaani ahadi tu umeshampa promo tayari.

Tutachukua taarifa msikitini za wenye uhitaji.
 
Kwaiy mme muingiza pilato kwenye sanaa rasmi[emoji81][emoji81][emoji81]sio kwa movie zile bhana .mission impossible zika some
 
LAKI TATU?!!!!! hata kama majibu ya uhakika anayo mtoa mada lakini nashauri we usiwepo kabisaaaa!! na nitafurahi ikiwa hivyo!
Mkuu kwanini? wakati na mimi napitia wakati huo huo mgumu
 
Birdman...... Baba mlezi wa lil Wayne alipost hivi hivi insta juzi........ Naona mzee wa kick naye anakopi na kupesti.........

au huyo sio wewe.

Wewe ulitaka afanyeje? au sababu Birdman kafanya yy asifanye?
Nilitaka akuoe
 
Back
Top Bottom