Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah, unapigia hesabu buku 4, huku jamaa anapigia hesabu mamilioni kadhaa...Nmetoka nje now
Kununua sukari ,pia nlikuaga nnashida na iriki na tangawizi
Dah imeisha 4000
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini like uliyoipata ni ya Robidinyo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Diamond ana mbwembwe sana afu hela zenyewe hana sasa. Dah
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo mpangooo hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo akifanya utafiti na kuhoji mmoja mmoja kwa wale wanao-qualify kulipiwa, 95% watataka hiyo kodi ya miezi 3 wapewe chao mkononi kisha wapambane kivyao na akina baba wenye nyumba!
Hiyo pesa Diamond hana na hata huyo Alikiba hiyo hana. Ni mbwembwe tu. Hawana maisha mazuri. Mi nilichoka nilipoambiwa Jay Dee ni bonge la tajiri afu kumbe ni fala tu.Kama mtu haujui kodi za uswahilini uneweza kufikiri jamaa atatoa bilioni na ushee kumbe kodi ya miezi mitatu uswahili ni kati ya sh 45,000 hadi 60,000/= maana kodi ya chumba uswazi ni elfu 15 hadi elfu 20 kwahiyo kwa familia 500 atatumia kati ya milioni 22 hadi 30 😀 😀 😀 😀 😀.
Kama mtu haujui kodi za uswahilini uneweza kufikiri jamaa atatoa bilioni na ushee kumbe kodi ya miezi mitatu uswahili ni kati ya sh 45,000 hadi 60,000/= maana kodi ya chumba uswazi ni elfu 15 hadi elfu 20 kwahiyo kwa familia 500 atatumia kati ya milioni 22 hadi 30 😀 😀 😀 😀 😀.
Tukiweka hapa data halisi unaweza kimbia uzi. DIAMOND HANA HELA ni show off hata magari anayotumia ni show off. Hana kama udhaniavyo. Ni mama tu mjini hapa. Anzia kampuni WASAFI MEDIA au hata yy mwenyewe. ACHENI STORY ZA VIJIWENI.Naamini like uliyoipata ni ya Robidinyo.
Dharau zote hizo inawezekana akiba yako yote haizidi elfu 10Hiyo pesa Diamond hana na hata huyo Alikiba hiyo hana. Ni mbwembwe tu. Hawana maisha mazuri. Mi nilichoka nilipoambiwa Jay Dee ni bonge la tajiri afu kumbe ni fala tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijasema dharau ila nilichosema mm ni kwamba hana hizo pesa kama anavyoamninisha wapuuzi mtaani. NASISITIZA DIAMOND HANA HELA NI MBWEMBWE TU.
Wewe jinsia gani?Sijasema dharau ila nilichosema mm ni kwamba hana hizo pesa kama anavyoamninisha wapuuzi mtaani. NASISITIZA DIAMOND HANA HELA NI MBWEMBWE TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusaidie data basi za kuonyesha jama kweli hana kitu,manake inawezekana yakawa maneno lakini Data au Documents zakuprove jamaa majalala hauna.Tukiweka hapa data halisi unaweza kimbia uzi. DIAMOND HANA HELA ni show off hata magari anayotumia ni show off. Hana kama udhaniavyo. Ni mama tu mjini hapa. Anzia kampuni WASAFI MEDIA au hata yy mwenyewe. ACHENI STORY ZA VIJIWENI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pesa Diamond hana na hata huyo Alikiba hiyo hana. Ni mbwembwe tu. Hawana maisha mazuri. Mi nilichoka nilipoambiwa Jay Dee ni bonge la tajiri afu kumbe ni fala tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mfatilie Mo anafanya kitu kikubwa sana hasa kwa watoto wenye matatizo.Mo hajawahi kutoa msaada wowote ndy maana huwa anatekwa yule Pimbi,huyu MBUMBUMBU anaesema mo katoa msaada kamuona lini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni Aache Kucopy copyWewe ulitaka afanyeje? au sababu Birdman kafanya yy asifanye?
Kakopi kutoa msaada?Mwambieni Aache Kucopy copy