Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Na mimi ni mmoja wapo wa hizo kaya? utaratibu gani natakiwa nifanye ili mimi pia niingie.
Lakini kikubwa ni utekelezaji yaani ahadi tu umeshampa promo tayari.
Tutachukua taarifa msikitini za wenye uhitaji.