Msanii Diamond Platnumz kulipa kodi ya nyumba ya miezi 3 kwa familia 500 za hali ya chini

Sawa unaumia sababu kafanya Diamond,ila Kiba na Goma lake walifanya walifanya hivyo na bila kusahau msikiti alio ukabizi alifanya mbele ya makamera ina maana naye kafuata masharti ya Mganga.

Makamera yalimfata kiba sasa huyu anatangaza kwenye kapage kake ili apate kuongelewa, sitoshangaa akimaliza kutoa msaada akatoa na kawimbi ka kucopy

Umesahau Diamond ule msikiti alibeba makamera na wabongo Muvi wavaa utupu
 
Makamera yalimfata kiba sasa huyu anatangaza kwenye kapage kake ili apate kuongelewa, sitoshangaa akimaliza kutoa msaada akatoa na kawimbi ka kucopy

Umesahau Diamond ule msikiti alibeba makamera na wabongo Muvi wavaa utupu
Waandishi walio wafuata na makamera habari walipewa na nani au walioteshwa.
 
Shoo zote ana zofanya,matangazo pesa anapeleka wapi au anafanya bure maana watu mna wivu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alichonifurahisha ni kutotoa msaada wake kupitia serikalini....maana ccm waroho sana
 
Shoo zote ana zofanya,matangazo pesa anapeleka wapi au anafanya bure maana watu mna wivu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
We huna akili? Show ngapi? Unajua analipwaje kwenye hayo matangazo? Sio kwamba hana pesa ila hana pesa kama akili yako inavyotaka kuamini.
KWA TAARIFA YAKO HUYO DIAMOND HADI LEO ANAMILIKI GARI MOJA ILE BMW X6 tangia 2014. Hizo zingine mbwembwe tu. WASAFI MEDIA SIO KAMA UDHANIAVYO KUWA KAMPUNI KUBWA. HATA HIVYO YY SIO MMILIKI KWA ANGALAU 50% ana vishare kidogo. Kapewa UDIRECTOR yy na MAMA yake tu. Hata ile v8 ni ya KAMPUNI SI YAKE BINAFSI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatumia "nguvu" nyingi sana Boss.
Kwani watu wakiamini jamaa ana pesa nyingi wewe inakupunguzia nini Boss?
 
Haters 45% unaona ndogo,Majizo EFM ana 40% ila kwa kuwa Diamond unapinga.V8 gani unazungumzia manake anazo tatu.

Alafu ulisema utatupa Data,hizo data hatuzioni mpaka sasa na ww unauza maneno huna tofauti na wazee wa vijiweni tupe data.
 
Wajameni mnaolipiwa kodi mkae mkijua hakuna kitu cha bure 4
 
Huyu jamaa mtangazaji anaonekana mkurya,wakurya na habari wapi na wapi

♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…