[emoji12] [emoji12] [emoji12]tupo watz million 45+
tuna mahekali ya ardhi
ukichoka kula ugali.... ipo kwaajili yako
makamera man wapo wataweka kumbukumbu zako..
Nitakunywa sumu kama nitamkosa Asprin[emoji6][emoji6][emoji106][emoji106]
Haha huyu unataka awe shemeji yangu? Atakuua kwa presha namjua vizuri ni aheri utangulie na sumu tuNitakunywa sumu kama nitamkosa Asprin
Nwno la kaka nitalisikizaHaha huyu unataka awe shemeji yangu? Atakuua kwa presha namjua vizuri ni aheri utangulie na sumu tu
Tunakutana kwenye viti virefu.. sitaki kesho uliye na mimiNwno la kaka nitalisikiza
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Usiku mmoja, tulikuwa tunajivinjari kule south beach, Kipepeo. Sasa mshkaji wetu mmoja wa kuitwa Diki alikuwa na demu wake ufukweni wanapiga story zao si hatuna habari. Mara tukasikia demu anapiga kelele, "Anajiuaa! Jamani nisaidieni anajiuaa!". Tukaacha bia zetu tukaenda mbio. Ndio tukamkuta Diki kasimama maji ya ugoko anataka kujiua kisa demu wake hamtaki tena. Tukaona huu ujinga huu. Tukamwambia Diki maji ya ugoko huwezi kufa, sogea kule mbele usitupozee muda wetu. Mpaka leo tukikumbuka tunacheka
NashangaaKha amuache kijana wa watu, kwani kupendwa ni lazima?
Ajiue tu[emoji53][emoji53][emoji53]Akiwa anahojiwa Times FM amesema atajiua endapo mwanamuziki huyo atamtosa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Aende akajinyongee kwao Bukoba mambo ya kutupa tabu za kuchangishana na kumrudisha kwao akiwa marehemu hatutaki