Msanii Ebitoke alia hadharani akimtaka Ben Paul kimapenzi

Aende akajinyongee kwao Bukoba mambo ya kutupa tabu za kuchangishana na kumrudisha kwao akiwa marehemu hatutaki
 
Usiku mmoja, tulikuwa tunajivinjari kule south beach, Kipepeo. Sasa mshkaji wetu mmoja wa kuitwa Diki alikuwa na demu wake ufukweni wanapiga story zao si hatuna habari. Mara tukasikia demu anapiga kelele, "Anajiuaa! Jamani nisaidieni anajiuaa!". Tukaacha bia zetu tukaenda mbio. Ndio tukamkuta Diki kasimama maji ya ugoko anataka kujiua kisa demu wake hamtaki tena. Tukaona huu ujinga huu. Tukamwambia Diki maji ya ugoko huwezi kufa, sogea kule mbele usitupozee muda wetu. Mpaka leo tukikumbuka tunacheka
 
Nasikia atajinyonga kwa kamba ambayo amenunua juzi duka la mangi ila ajabu akadai chenchi yake.
 
Usiku mmoja, tulikuwa tunajivinjari kule south beach, Kipepeo. Sasa mshkaji wetu mmoja wa kuitwa Diki alikuwa na demu wake ufukweni wanapiga story zao si hatuna habari. Mara tukasikia demu anapiga kelele, "Anajiuaa! Jamani nisaidieni anajiuaa!". Tukaacha bia zetu tukaenda mbio. Ndio tukamkuta Diki kasimama maji ya ugoko anataka kujiua kisa demu wake hamtaki tena. Tukaona huu ujinga huu. Tukamwambia Diki maji ya ugoko huwezi kufa, sogea kule mbele usitupozee muda wetu. Mpaka leo tukikumbuka tunacheka
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom