Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

Msanii Fareed Kubanda 'Fid Q' afunga ndoa katika Msikiti wa Qiblatain Boko, Dar es salaam

Huu ndio ukweli aggy. Hatukatai watu wapende.. ila sasa kuna wadada wanadhan kuwa uzuri ndio kigezo .. basi kutwa saloon. Mara dawa za.kuongeza tako.

Mwisho wa siku mwanaume anaoa mke wa kawaida sana mpaka unashangaa.
Wadada mnajirahisi mnashikwashikwa na kuchezewa wee kisa wanaenda kuoa wa kawaida.. Mfano sahihi ni
Fid q
Ay
Mwana Fa
Masanja
Ali kiba
Etc

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawaamki hata kiakili
Hawashtuki
Hata diamond mwenyewe atawachezea we akili zikimfika anachukua asie na umaarufu na kushindana kubinua makalio mtandaoni anaoa
Huu ndio ukweli aggy. Hatukatai watu wapende.. ila sasa kuna wadada wanadhan kuwa uzuri ndio kigezo .. basi kutwa saloon. Mara dawa za.kuongeza tako.

Mwisho wa siku mwanaume anaoa mke wa kawaida sana mpaka unashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuvaa kama waarabu ndio fashion siku hizi au?
Hiyo siyo fashion bali imekuwa hivyo tangu enzi za mababu. Hasa maeneo ya ukanda wote wa pwani na kigoma. Kuvaa suti nako si uzungu huo
 
Weekend iliyopita msanii Farid kibanda a.k.a fid Q ameuaga ukapela a.k.a chama la wana na kujiunga na kuanza mwaka 2019 akiwa ndani ya ndoa.ndio hyo haikuwa ya sherehe kubwa Bali iliuzuliwa na mastaa wenzanke wa hip-hop akiwemo hamisi mwinyijuma a.k.a mwana FA
IMG_20190104_195154.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom