Minah
JF-Expert Member
- Dec 23, 2018
- 840
- 2,343
Dah nilishtuka sana nilivosoma habari za kifo chake. Mungu amrehem na awape Subra wafiwa 😭😭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeste ni mchaga dah ☺️☺️Cyril ..singida boy
Mabeste chaga boy
Kwahiyo kwa unavyofikiria wewe, P ana level ya kumpita Lunya?. jamaa kweli anajua ila bado hajatoboa ila pia usiseme lunya anakaa level ya chini ya P, kipimo cha mziki pia ni mafanikio hiyo ndio criteria ya kuitumia hapa sio unabwabwaja tu hapa kisa umeshiba chapati zako mbili mbwiga wewe.Wewe jau sana yaani P kama lunya embu ficha ujinga wako
Yeah ni mchaga thou amekaa kenya Sana ndo maana ana ka lafudhi ka kenya kwa mbaliMabeste ni mchaga dah [emoji3526][emoji3526]
OkweyYeah ni mchaga thou amekaa kenya Sana ndo maana ana ka lafudhi ka kenya kwa mbali
Sasa Lunya ana mafanikio gani?Kwahiyo kwa unavyofikiria wewe, P ana level ya kumpita Lunya?. jamaa kweli anajua ila bado hajatoboa ila pia usiseme lunya anakaa level ya chini ya P, kipimo cha mziki pia ni mafanikio hiyo ndio criteria ya kuitumia hapa sio unabwabwaja tu hapa kisa umeshiba chapati zako mbili mbwiga wewe.
Hemed Phd?Chamber squad nimesoma nao complex , Mike tee naye pia ,d knob naye pia Ila nafikiri aliacha chuo , etc wako wengi,hapo sijamuweka hemed ( mkwere) tulikuwa tunafuata kwao na mi braza wake , naga
Mafanikio ya kimuziki, kutrend kwa nyimbo kwenye charts pamoja na trends nyingine kwenye media, sio lazima atembelee ferari ndio u-rate mafanikio yake. P ni mkali ndio Lakin hana nyimbo ambazo zimepata bahati ya kutrend na kukaa kwenye charts na kusumbua.Sasa Lunya ana mafanikio gani?
Mh, you must be somebody!Nimepiga sana story na AY mwaka jana akanipeleka studio za bongo records na badae tukaenda Wanene pale nikakutana na FId q na lord eyes na maproducer wa pale , akinipa CD za album zake na mualiko wa uzinduzi wa ngoma yake ya DAN ELA pale samaki samaki