Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Msanii gani maarufu umewahi kuonana naye live mkaongea mawili matatu

Wewe jau sana yaani P kama lunya embu ficha ujinga wako
Kwahiyo kwa unavyofikiria wewe, P ana level ya kumpita Lunya?. jamaa kweli anajua ila bado hajatoboa ila pia usiseme lunya anakaa level ya chini ya P, kipimo cha mziki pia ni mafanikio hiyo ndio criteria ya kuitumia hapa sio unabwabwaja tu hapa kisa umeshiba chapati zako mbili mbwiga wewe.
 
Sasa Lunya ana mafanikio gani?
 
Sasa Lunya ana mafanikio gani?
Mafanikio ya kimuziki, kutrend kwa nyimbo kwenye charts pamoja na trends nyingine kwenye media, sio lazima atembelee ferari ndio u-rate mafanikio yake. P ni mkali ndio Lakin hana nyimbo ambazo zimepata bahati ya kutrend na kukaa kwenye charts na kusumbua.
 
Nimepiga sana story na AY mwaka jana akanipeleka studio za bongo records na badae tukaenda Wanene pale nikakutana na FId q na lord eyes na maproducer wa pale , akinipa CD za album zake na mualiko wa uzinduzi wa ngoma yake ya DAN ELA pale samaki samaki
 
Mh, you must be somebody!
 
Whozu, Janjaro. Cliff mitindo na Benard Paulo tulisoma nao chuo, tumekaa nao geto moja
 
Kwa upande wangu ni Westlife alikuja juzi kunichukua tukaenda kumwangalia Joe Biden anaapishwa kuwa rais rasimi wa marekani bila malubwa lubwa
 
Banana Zoro enzi hizo nikiwa Forodhani sec school (St. Joseph) jamaa alikuwa anakuja sana mitaa ile na gari yake ilikuwa Starlet Glanza tulikuwa tunapiga nae story sana. Ni mtu poa sana.
 
Back
Top Bottom