Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Mkuu kumbe una age pengine ni moja ya ma Bro ninaowajua. RIP, Faza Nelly.
Ndio,hahaaa!!! ulikuwa naye kwa pusha[emoji2][emoji2][emoji2]
Joh Makin,Lord Eyes,Bou Nako...n.kWasanii wengi wa Arusha waliopo Dar nimekaa na kupiga nao story mitaa ya Sinza. Maisha yanaenda kasi sana.
Wengine ni Bongo Movie na wadada wa kwenye video sijui ndio video vixsen ata sielewi inaandikwaje.
Songa inaonekana alikuwa mpole sanaSonga
Sio kuongea nae tu huyu nimesoma nae toka vidudu/nursery hadi darasa la 4.
Chege, Temba hawa walikuja miaka hiyo ya 2003 kushot video yao Kwenye kota za jeshi sasa wakadhani wataweza kufanya jambo lao kirahisi,
wakakataliwa.
Jamaa alikua mkimya flani hivi enzi hizo shule ya msingi Mapambano kabla hazivunjwa kuwa mbili na Shekilango alikua na kundi lake flani hivi kama5 wababe hao.Songa inaonekana alikuwa mpole sana
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikawa surpriseJamaa alikua mkimya flani hivi enzi hizo shule ya msingi Mapamabano kabla hazivunjwa kuwa mbili na Shekilango alikua na kundi lake flani hivi kama5 wababe hao.
Ila nilikuja kushangaa baada, ya miaka namuona luningani ana rap kwenye kipindi cha cheusi dawa.
Sanaa! Nikaja Kumtafuta jamaa akanikacha kabisa et hanijui wakati tumeshawahi adi chimbiana mkwara kisa do mmoja hivi.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ikawa surprise
hahaaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akakuvimbia... inaonekana alikuwa na kinyongo na wewe hahahhaa[emoji2][emoji2][emoji2]Sanaa! Nikaja Kumtafuta jamaa akanikacha kabisa et hanijui wakati tumeshawahi adi chimbiana mkwara kisa do mmoja hivi.
Hahaahah! Inawezekana mzee,.hahaaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] akakuvimbia... inaonekana alikuwa na kinyongo na wewe hahahhaa[emoji2][emoji2][emoji2]
Joh Makin,Lord Eyes,Bou Nako...n.k
Chindo yupo marekani now.Mapacha nao huwa wanajiachia sana mitaaniOngezea Stopa, Junior Nako, G Nako, K na D wa Mapacha, kipindi fulani akaja Juru na Odinary. Mara chache utaambiwa Oi chalii njoo JCB anakutafuta akuachie mzigo wa Hood za YKMK ukienda unamkuta na Chindo mtu wa stori nyingi anakuambia dogo rudi Chuga Dx anakutafuta umekuja kuwaje kama mbanga wa Dar?. Unamwambia ntarudi Bro.
chid benz enzi zake...Bou Nako ushamuona?Sheta alikuwa ana vituko nakumbuka kipindi hiko tupo form 4 mwaka 2008 tukaenda kwao Boma kusolve paper fake kipindi tunapiga necta sasa wakati sisi tunasolve paper yeye kasolve saaa moja kachoka akakimbika akaenda chumbani kwake akawa anaimba nyimbo zake halafu akawa anasema anaejisikia kachoka aje kuimba wakati kesho necta
Hakeem five huyu nilisoma nae kuna siku tupo darasani jamaa alikuwa ananipigia chabo sana halafu zikija matokeo muda mwingine ananipita wakati muda wote ananigelezea basi nikawa namuambia Hashimu(Hakeem five ) sitaki unipigie chabo maana yakija matokeo ananipita labda somo moja sio yote nilikuwa nachukia kweli
Chid Benz mikono vululu ukikutana nae mtaan yaan jamaa alikuwa ana misemo yenye akili kama una bichwa bovu huwezi elewa
Q chief sikujuwa kama alikuwa msanii kwenye miaka 2000 nilikuwa kama na miaka 9 tupo maskani tunasikiliza nyimbo yake sasa kuna jamaa mmoja akawa anasema Abuu(q chief) anaimba sauti kama ya kike kipindi kile ile nyimbo Aseme akija maskani tunakula nae mihogo basi tukawa tunamtania Daa msanii mkubwa anashindia mihogo
Nako2nako hasa ibra Du hutsla huyu ndio alinifanya nipende hip pop 2006 na 2007
unatokea chuga?Joh makini kabla hajatoka kuna siku alikua anapita mtaa akakuta tunapiga ngoma yake
Sisi hatukumsoma alikuja tukapiga pale akatuambia oya wazee ngoma yangu hiyo
Alikaa pale tukapiga story moja mbili tatu
Maisha yakaendelea
ipo channel gani hiyo channel