Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni 2017.kuna ile fiesta nafkiri alikuja ludacriss au nani ila nafkiri ilikua mwaka 2011...nipo V.I.P niliongea na ROMA sana nikawa namuuliza kama mashairi yake hayajawahi mpa shida akasema hapana nikamwambia hata system haijawahi kumzingua ? tukabadilishana no pale basi...
alivyokuja kutekwa nadhani ni 2018 au 2019 sikumbuki nikambuka ile siku....
nilimhurumia sana
Kwa akili hizi nafkiri utakua umefanyiwa kipimo kipya Cha covidJPM taifa
nini faida ya kuwa na meneja?Wasanii wengi Wana maisha Fulani wamezoeshwa ya kupewa Offa Offa
So kama mtu mbahili utajikuta unawakwepa sana kama unfahamiana nao..
Zamani
Nilikuwa nataka kuwa promota WA mziki na filam
Nikawa nna watu wananitafutia wasanii nijaribu kuongea nao dah..
Unaweza tumia hela Kwa kuongea nao tu
Msanii yoyote wa Tz ukisema Tu we ni promota mnataka kuongea biashara
Anakuja mwenyewe...
Labda hawa WCB these days ndo Wana utamaduni wa meneja na wachache wengine
issue ya kifo cha faza nelly ilikuaje?Dully sykes zamani sana alikuwa mshikaji nadhani ilikuwa around 2002 au 2003 wakati huo anatembea na "ATU" ,cha kusikitisha ATU alifariki kwa "NGOMA".
Father Nelly alikuwa msela wangu sana enzi hizo wakati nakaa "NGALIMI".
ikawaje mwisho wake?Juzi juzi kagonga mtu kea gari kule Alimaua karibu na shule ya mama Salma Kikwete, akakimbia[emoji23]
Niki mbishi hukumuona?Nilipanda Bajaji!! Na mwinjuma muumin tokea Gongo la mboto!!! Tunakwenda Mnaz Mmoja!!!
Kuna huyu Jamaa Dulayo '' huku Ukonga!!! Mitaa ya Banana Goms!! Anagongea K Vant Tuu!! Ana kitu:
Masanja Mkandamizaji!! Nimekutana Nae sana Ofisin kwetu hapa!!! Japo masihala yake yako vile vile!!!
Baghdad Aliwah kutubeba kweny Uber!!!! Ile siku Tumeita Uber mitaa ya Tazara.....Inakuja simama !! Dereva nikamtambua Baghdad!!!! Daa bas story ziliendelea......mpka chench yangu 7500/ Nilikuachia Mtoto wa Mexixana Baghdad!!!!!!
N.B
U-star zigo la mavi, !!!!!
ipo channel gani hiyo channelKuna mwanangu mmoja nimesomA nae olevel huko mbeya
Saivi ndio director wa tamthilia ya SARAFU
Alikuwa muongeaji balaa naona Sasa ndio anawaambia akina hemed ,mlela na uwoya "cuuuut" [emoji1787][emoji1787]
Way back tunasoma yeye alikuwa anawaona kwenye TV[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
duka la Drake huyu famous?Actually wasanii wa Bongo nimekutana na P Funk Sana Kwenye Duka la Kina Drake anachukua Viatu USA, ila kwa suala la Bongo sishtukagi sana,
Ntaongelea watu maarufu kimichezo
Kwa Kifupi Caragger wa Liverpool 2007's alikuwa na dada mmoja wa Kirusia ambaye tulikuwa tunafanya naye kazi amekuwa anatutembelea sana kazini
2010 Nilikutana Na Michael Essien AMSTERDAM akienda Ghana nami nikienda Bongo ila hatukuzungumza nilitamani nipate naye picha lakin haikuwezekana ,
Nimekutana na Wasanii wengi wa Kidunia (Mfano Cashley Cole)kwa kuwa mi mtu wa kujiachia, though hatupati Nafasi ya Kuwa close Sana,
sh.ngapi?[emoji2][emoji2][emoji2]Nimepiga sana story na Best nasso
Tuliongea machache.
Ila na Saida karoli.
Tulibonga tukaweka na photo moja japo kwa bei.
hii mbaya sana...najua wenye salio la kutosha watakuwa wanatumia hio nafasi kuwapata mateller wa kike kimapenziHahahaaaa mi sikua teller nilikua customer service desk japo teller lazma atajua salio especially unapotaka kutoa hela
jamaa kakataa kuoa hahaaa[emoji2][emoji2][emoji2]diamond platnumz maeno ya sinza vatcan..alipokua anataka kuwapangishia dancers wake..hiyo nyumba alokua anaitaka..ipo jirani na ninapoishi.. jamaa anaongea haraka haraka mno[emoji23][emoji23]
pia bwana Juma Mchopanga (JAY MOE) ni jirani yangu..huwa tunapiga sana stori kijiweni kwa mkenya[emoji28][emoji28]
ukawanunulia bia mbili mbili[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Me nilikutana na Inspector Harun bar moja inaitwa Micasa Ubungo alikuwa na mwanangu mmoja meza moja nikaenda kumpa hi, nikamkumbusha story za team Juma Nature na team Inspector enzi hizo napiga shule Moshi huko. Watu tulikuwa tunapigana hadi ngumi ukiamza huo ubishi, mm nilikuwa team Inspector alifurahi sana nikawaachia bia mbili mbili nikasepa. Banana Zoro pia alikuwa akija pale kuimba na band yake akitukuta counter lazima atoe hi kwa wote. KR Mura nilishawahi kuamulia ugomvi na mwanangu mmoja hivi walizinguana akaanza kusema mm ni msanii. Msafiri Diof enzi za Twanga alikuwa kila akinikuta pale Saniro Sinza anataka bia, dah kitambo sana.
alikukuta wapi?Ni P the Mc, tena alinikuta nasikiliza ngoma yake "mama mjane" dah ilikuwa fresh aisee, jamaa alikuwa happy sana nikamuonesha kwenye pc yangu Kuna ngoma zake karibu zote na wasanii wenzake WA tamaduni.
Sent from my 502SO using JamiiForums mobile app
hivi haiwezekani kuwa na account maalum ili taarifa za mtu zisionekane?.najua watu wenye hela watakuwa wamewafaidi sana mateller maana teller mwanamke akiona salio kubwa lazima ajichekesheNina ofisi ya photoshoot pande flani town wasanii kibao wa bongomovie,gospel na bongoflavour mpaka tulishawazoea hasa madem. Tena hadi wale wauzaji wakubwa bongo wanakuja, kuna jamaa yangu wa mkoa siku alikuja kunitembelea akamkuta dem mmoja basi yule dem alivoondoka jamaa akashangaa sana kumuona akanambia ni dem ananuonaga tu insta ni maarufu sana akanionesha akaunti ya huyo dem aisee utasema dem anaishi marekani na anafollowers zaidi ya milioni.
Ila zamani nilikutana na shilole kwenye atm na sikumtambua akawa ananiuliza kadi yake inazingua ilikua ya benki nyingine. Jamaa yangu ndo akanambia ulikua unaongea nini na shilole ndo nikagundua. Matonya nae alikua mshkaji sana pindi nafanya kazi benki nilimsaidia kujaza account opening form na hata slips nilikua namsaidia kujaza coz kuandika kwake ilikua ni shida sana,so kama anakuja benki ilikua lazima anipigie simu. Akaunti yake haikuwa haba mpaka nikawa najiuliza ndo badae nikajaga kuskia kumbe ngada