Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?


Gigy alipewa airt time wasafi tv na akapewa air time tena wasafi fm na kote alifanya yale yale na kuongeza..... jiulize kulikuwa na ulazima gani? Gigy sio chizi yuko kazini
 

Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?
 
Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?

Nani amemtuma bwana wewe tutolee mautabiri yako na kujifanya unajua wakati Huna ulijualo!Yaani mtu na akili zako unaweza mtuma Gigy ambaye kuficha Siri zake tu hawezi sembuse za wasafi?!hivi unadhani Nandy ni tishio kwa Diamond sasa hivi eti Apange watu wa kumchafua ili Zuchu apande?!ni mjinga pekee na watu wenye chuki dhidi ya wasafi ndio wataamini hili!Angetaka huyo Diamond kumshusha Nandy angefanya kabla ya Zuchu kutambulishwa ili kutengeneza mazingira!sasa hivi Zuchu wa moto!haitaji promo za kijinga namna hiyo halafu eti kupitia Gigy!
 
Kama hajatumwa kwanini anatumia wasafi media tu kuchafua watu?
 
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.

Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.
 
Wewe ni kichwa maji Zuchu na nandi nani yupo kwenye ramani ya mziki kwa sasa hivi.
Nitakukata ub...ooo halafu nikufirishe nao mwenyewe

Kumbe naongea na Mjinga tu hapa napoteza muda!!mi sio wa hovyo hivyo Tafuta mataahira wenzio utukanane nao
 
Hivi hamuwezi kuargue mpaka matusi?
[emoji36][emoji36]
Btw, what's going on? Giggy, Nandy, WCB, Kutumwa,...??

cocastic help babe
 
Elimu elimu elimu.Sema wabongo wameshaidharau elimu sababu vijana wamepigwa doro mtaani.
Mwenye uelewa hawez fanya ujinga huo wa Gigy.
 

Wewe hivi uwezi kujadili bila matusi? Punguza pressure swali ni kwamba kweli kazi aliyotumwa Gigy ataiweza?
 

....... Najiuliza kama kweli kazi ataiweza
 
Lini wcb wameishi bila kiki,mziki hawajui wamebaki kiki
 

Nandy ni manzi flani huwa hawajibu watu kwenye macho ya media lakini huwezi jua behind the scene anadeal nao vipi. Hiyo ni strength yake

Kingine Zuchu kwa sasa ndio anapewa promo na sishangai hata akija kuwa leading female artist kwa Tz maana nguvu ya WCB imeonekana kwa kumpush mtu kama harmo ambao talent ipo low lakini sasa ni jina kubwa...

By the way Yoyote anaesuka mipango ya zuchu anaisuka fresh lakini je, ataweza kumfanya zuchu kuwa international act kama Vee ??. Mtihani huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…