Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?
Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.
Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo
Kumbe wewe huwaga kiazi hivi?!hivi tangu lini diamond akashindana na watoto wa kike?!angetaka hizo mambo basi angemtambulisha Zuchu wakati Nandy yuko Moto na sio sasa Nandy ameshaishiwa anabahatisha tu!!Believe me or not Nandy huyu wa sasa wala hana tishio lolote lile kwa watu kama wasafi ukilinganisha na Nandy wa Mwaka mmoja nyuma!Acheni unafiki basi
Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?
Mkuu unamjua Nandy na gigi money basi ni wabogo fleva hao haoNdio kina nani hao?
Inawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?
Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.
Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo
vipi mataga wa madale mbona umepanic???Kumbe wewe ni mpumbavu, sasa unaendeshwa na mihemko, katumwa na nani au na kibamia.
Mchumba wa BillnassYaani unatumia anonymous ID halafu umeshindwa kumtaja huyo aliyechafuliwa!!?
Wewe ni kichwa maji Zuchu na nandi nani yupo kwenye ramani ya mziki kwa sasa hivi.
Nitakukata ub...ooo halafu nikufirishe nao mwenyewe
Fala wako kwenu huko na makaburi yenu yote!!huyo Nandy anaukubwa gani sasa hivi mpaka watu wauogope!?Nandy wa Ruge ndio huyu wa sasa?!huu si utopolo tu!Eti kushushwa alipanda lini huyo Nandy!?wakati sasa hivi Nandy anamhitaji Zuchu ili atrend!!kaa kwa kutulia jinga wewe
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.
Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.
Wewe hivi uwezi kujadili bila matusi? Punguza pressure swali ni kwamba kweli kazi aliyotumwa Gigy ataiweza?
Wewe hivi uwezi kujadili bila matusi? Punguza pressure swali ni kwamba kweli kazi aliyotumwa Gigy ataiweza?
Wewe sikia, Wasafi ni brand kubwa sana inaweza kumpeleka mbali msanii kama Zuchu bila kumchafua yoyote yule na ndio wanachofanya sasa, Zuchu kama Zuchu ana kismati chake na ndio maana ametoka kirahisi.
Media ya Wasafi inaongelea habari nyingi tu za wasanii na wasanii kibao wanapewa fursa ya kusema mambo yao why waogope kumuongelea Nandy mlifikiri Clouds pale kwamba ishu mbaya za Nandy hazirushwi nyie mabwabwa kweli.