Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Tetesi: Msanii Gigy Money atafanikisha kazi aliyotumwa? Anaiweza? Atumiwe Konki Master (Dudu Baya)? Tujiandae kuona video?

Inawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?

Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.

Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo

Gigy alipewa airt time wasafi tv na akapewa air time tena wasafi fm na kote alifanya yale yale na kuongeza..... jiulize kulikuwa na ulazima gani? Gigy sio chizi yuko kazini
 
Kumbe wewe huwaga kiazi hivi?!hivi tangu lini diamond akashindana na watoto wa kike?!angetaka hizo mambo basi angemtambulisha Zuchu wakati Nandy yuko Moto na sio sasa Nandy ameshaishiwa anabahatisha tu!!Believe me or not Nandy huyu wa sasa wala hana tishio lolote lile kwa watu kama wasafi ukilinganisha na Nandy wa Mwaka mmoja nyuma!Acheni unafiki basi

Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?
 
Soma nilicho andika...Gigy ametumwa kufanya kazi na anaifanya vyema! Jiulize kazi hiyo anaifanyia wapi? Ni nini dhumuni? Hivi kwani wasanii wote hawawezi fanikiwa mpaka mwingine abwagwe?

Nani amemtuma bwana wewe tutolee mautabiri yako na kujifanya unajua wakati Huna ulijualo!Yaani mtu na akili zako unaweza mtuma Gigy ambaye kuficha Siri zake tu hawezi sembuse za wasafi?!hivi unadhani Nandy ni tishio kwa Diamond sasa hivi eti Apange watu wa kumchafua ili Zuchu apande?!ni mjinga pekee na watu wenye chuki dhidi ya wasafi ndio wataamini hili!Angetaka huyo Diamond kumshusha Nandy angefanya kabla ya Zuchu kutambulishwa ili kutengeneza mazingira!sasa hivi Zuchu wa moto!haitaji promo za kijinga namna hiyo halafu eti kupitia Gigy!
 
Kama hajatumwa kwanini anatumia wasafi media tu kuchafua watu?
Inawezekana hupendi anachofanya Gigy ila sio vizuri kuwaingiza Wasafi. Wamtume Gigy kwa kuwa Nandy anawatishia kwa kipi alichonacho?

Gigy kapewa platform ya kusemea kama wasanii wengine wanavyopewa yakiibuka mambo mitandaoni.

Kuna sehemu Wasafi wamekukera ila acha kuwatungia uongo
 
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.

Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.
 
Wewe ni kichwa maji Zuchu na nandi nani yupo kwenye ramani ya mziki kwa sasa hivi.
Nitakukata ub...ooo halafu nikufirishe nao mwenyewe

Kumbe naongea na Mjinga tu hapa napoteza muda!!mi sio wa hovyo hivyo Tafuta mataahira wenzio utukanane nao
 
Hivi hamuwezi kuargue mpaka matusi?
[emoji36][emoji36]
Btw, what's going on? Giggy, Nandy, WCB, Kutumwa,...??

cocastic help babe
 
Elimu elimu elimu.Sema wabongo wameshaidharau elimu sababu vijana wamepigwa doro mtaani.
Mwenye uelewa hawez fanya ujinga huo wa Gigy.
 
Fala wako kwenu huko na makaburi yenu yote!!huyo Nandy anaukubwa gani sasa hivi mpaka watu wauogope!?Nandy wa Ruge ndio huyu wa sasa?!huu si utopolo tu!Eti kushushwa alipanda lini huyo Nandy!?wakati sasa hivi Nandy anamhitaji Zuchu ili atrend!!kaa kwa kutulia jinga wewe

Wewe hivi uwezi kujadili bila matusi? Punguza pressure swali ni kwamba kweli kazi aliyotumwa Gigy ataiweza?
 
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.

Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.

....... Najiuliza kama kweli kazi ataiweza
 
Lini wcb wameishi bila kiki,mziki hawajui wamebaki kiki
Wewe sikia, Wasafi ni brand kubwa sana inaweza kumpeleka mbali msanii kama Zuchu bila kumchafua yoyote yule na ndio wanachofanya sasa, Zuchu kama Zuchu ana kismati chake na ndio maana ametoka kirahisi.

Media ya Wasafi inaongelea habari nyingi tu za wasanii na wasanii kibao wanapewa fursa ya kusema mambo yao why waogope kumuongelea Nandy mlifikiri Clouds pale kwamba ishu mbaya za Nandy hazirushwi nyie mabwabwa kweli.
 
Gigy ametumwa na wasafi na lengo ni kumshusha Nandy ili Zuchu atrend ,na Nandy amefanya vizuri kunyamaza na anatakiwa asijibu huo upuuzi wa Gigy,hadi gigy atajiona mjinga , halafu kwa kujipendekeza ataanza kujirudisha kwa nandy mwenyewe.

Hawawezi kumshusha Nandy,ilizuka scandal ya nandy na billnenga hadi video hajashuka sembuse huo ujinga wa kuongea tu.

Nandy ni manzi flani huwa hawajibu watu kwenye macho ya media lakini huwezi jua behind the scene anadeal nao vipi. Hiyo ni strength yake

Kingine Zuchu kwa sasa ndio anapewa promo na sishangai hata akija kuwa leading female artist kwa Tz maana nguvu ya WCB imeonekana kwa kumpush mtu kama harmo ambao talent ipo low lakini sasa ni jina kubwa...

By the way Yoyote anaesuka mipango ya zuchu anaisuka fresh lakini je, ataweza kumfanya zuchu kuwa international act kama Vee ??. Mtihani huo
 
Back
Top Bottom